Salamu kwa uongozi wa Simba

Salamu kwa uongozi wa Simba

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
WAKUU.

Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching.

Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili.

1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo ni BOX TO BOX.
Baada ya Lwanga kuumia hatuna kiungo wa UKABAJI namba sita wakakakaa kimya na kunibeza.

2. Niliwashauri kutafuta mshambuliaji wa Maana kariba ya mayele ambaye ni cezer Lobi Manzoki wameshindwa Hadi sasa. Hivi UNAMUACHA mugalu na kagele unatuletea MZUNGU wa KUKAA benchi?

3. Niliwashauri kuwa na uvumilivu wa Hawa makocha mtindo wa kubadili Sana makocha unaigharimu timu. Mmepoteza kocha mzuri kama gomezi itawachukua miaka kupata kocha aina ya Gomezi.

4 Mazoezi kukosa privacy, Hili nalo nimekuwa nilishauri. Utulivu unakosekana Sana wakati wa Mazoezi.

5. Simba unashindwa kuzichanga vizuri Nje ya uwanja inapocheza na Yanga, watu kama akina kaduguda, Dalali , Rage nk wapewe heshima zao na waheshimiwe mawazo na ushauri wao. Kimya.

6. Sina mengi ya kujadili kuhusu mchezo wa Leo yote niliyajua na niliyaona.

BILA MAONGEZO YA CDM NA MSHAMBULIAJI MANZOKI UBINGWA TUTAUSIKIA KWENYE REDIO.

TRY AGAIN NA MANGUNGU MJIUZURU KAZI IMEWASHINDA.
 
Shida ya Simba ni huyo myopic Matola ndio anaewashauri hao viongozi,kama tutaendelea kumtegemea Mkude kiungo mkabaji anaeduwaa uwanjani msimu huu tutatoka kapa

MANGUNGU mtamuonea Bure, kazi yake ni kufungua na kufunga Mikutano....

Tryagain hamna uwezo naye..ni mamlaka ya Muddy ndio iliyomteua, kama mama Babra tu...

Mchawi ni B20...

Mmepigwaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mzungu yule yuko vzr, sema no kiungo wa kutoa pass mpenyezo kama alivofanya Aucho ndo hakuna.

Lait yule jamaa angepata mtu wa kumlosha yuko poa sana. Anticipation yake ni baabkubwa.

All in all njmefurah kolo kufa maana aliikejer sana yanga baada ya kupoteza kwa vipers. Sasa tukutane ligi kuu tuonyeshane makali maana huko kimataifa hakuna kombe huko labda tu makundi au kwa miujiza quarter.
 
MAKOLo.....taabu ipo pale pale....

Kuna uzi niliweka hapa jf kuwashauri viongoz wa MAKOLO kuwa st.. George ( waimba kwaya ).....hakikua kipimo kizr....ila mlinipinga
FB_IMG_16604236679211270.jpg
 
WAKUU.

Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching.

Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili.

1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo ni BOX TO BOX.
Baada ya Lwanga kuumia hatuna kiungo wa UKABAJI namba sita wakakakaa kimya na kunibeza.

2. Niliwashauri kutafuta mshambuliaji wa Maana kariba ya mayele ambaye ni cezer Lobi Manzoki wameshindwa Hadi sasa. Hivi UNAMUACHA mugalu na kagele unatuletea MZUNGU wa KUKAA benchi?

3. Niliwashauri kuwa na uvumilivu wa Hawa makocha mtindo wa kubadili Sana makocha unaigharimu timu. Mmepoteza kocha mzuri kama gomezi itawachukua miaka kupata kocha aina ya Gomezi.

4 Mazoezi kukosa privacy, Hili nalo nimekuwa nilishauri. Utulivu unakosekana Sana wakati wa Mazoezi.

5. Simba unashindwa kuzichanga vizuri Nje ya uwanja inapocheza na Yanga, watu kama akina kaduguda, Dalali , Rage nk wapewe heshima zao na waheshimiwe mawazo na ushauri wao. Kimya.

6. Sina mengi ya kujadili kuhusu mchezo wa Leo yote niliyajua na niliyaona.

BILA MAONGEZO YA CDM NA MSHAMBULIAJI MANZOKI UBINGWA TUTAUSIKIA KWENYE REDIO.

TRY AGAIN NA MANGUNGU MJIUZURU KAZI IMEWASHINDA.
5 ni washirikina tupu na yanga leo ndio wametuumiza hapo.....viongozi kutoa ela ya mambo ya giza hawataki wanaamini mpira ni sayansi na si ushirikina

Yanga watatuumiza sana aiseee wachezaji wote walikufa secondhalf mpaka unashangaa wakati firsthalf walikua moto
 
Yule mzungu ampate chama tu atafunga sana bonge la player lile
 
Sasa Mangunga si mfungua na mfunga vikao tu?

Nilijua baada ya mechi watu mtatafutana 😂😂
 
Gomes Da Rosa hakuwa na vyeti stahiki vya kumbakisha Simba hasa kwa michuano ya Afrika
 
Shida ya Simba ni huyo myopic Matola ndio anaewashauri hao viongozi,kama tutaendelea kumtegemea Mkude kiungo mkabaji anaeduwaa uwanjani msimu huu tutatoka kapa
1. Kama kuna mchezo ambao Matola alipaswa kuonyesha umuhimu wake kuwa assistant coach ni leo..nadhani simba watafute ass. Coach mwingine, amechezea simba, amekuwa ass. Coach muda mrefu, lkn sifa hizo hazina mchango wowote kwa timu inapocheza mchezo km wa leo, sabab michezo inatofautiana, kitu cha kwanza kabisa ambacho simba players hawakuwa nacho ni winning spirit, walionekana wazi kabisa hata kwa kuwatizama kabla ya mchezo kuanza hawakuwa na spirit ya ushindi tofauti na yanga players..na Matola kwa uzoefu wake alipaswa kuwaandaa players kwa hili.
2. Simba inahitaji watu wenye maturity na football kwenye technical benchi, kujua kuongea sana na media au kufanya sijui uchambuzi hakumpi mtu maturity kwenye football na kuwa part ya technical bench..Ahmed Ally na wengine wawe replaced.
3. Simba watafute team captain mwingine, chuma s too junior kuwa kapten, ni jukumu zito kwake, kwa mfano kuna mara kadhaa maamuzi ya refa hayakuwa mazuri kwa simba, hayo tu yanatosha kuondoa attention ya mchezo kwa baadhi ya wachezaji..km alivyocheza zile rafu Inonga, siyo kawaida yake..kapten haongei na refa, haongei na wenzake ku-maintain attention muda mwingi yuko kimya, kwa wanaokumbuka lile goli simba walifungwa na Pirates halikuwa halali, kama kapteni alipaswa amfate refa kumwambia acheki VAR lakin alikuwa anazubaa tu..na simba walitolewa finally, wampe mchezaji mwingine senior player awe team kapteni.
 
Mzungu yule yuko vzr, sema no kiungo wa kutoa pass mpenyezo kama alivofanya Aucho ndo hakuna.

Lait yule jamaa angepata mtu wa kumlosha yuko poa sana. Anticipation yake ni baabkubwa.

All in all njmefurah kolo kufa maana aliikejer sana yanga baada ya kupoteza kwa vipers. Sasa tukutane ligi kuu tuonyeshane makali maana huko kimataifa hakuna kombe huko labda tu makundi au kwa miujiza quarter.
Viongozi ndio wanasikiliza ujinga kama huu.

Mzungu hafai aondoke Leo.Hilo ni dili tumepigwa kweupee
 
Kocha hamna pale
Ni kweli mkuu hatuna kocha, huwezi fanya sub ya chama ambaye alicheza vizuri unamwingiza Mzamilu, alipaswa amuache Chama achieve na Okra na Okwa sina imani na kocha kabisa yaani anamuingiza mzungu wake kufanya majaribio kwenye mchezo wa Simba na Yanga? Na Kanoute mwenyewe simuelewagi sijui kwa nini walimwacha Lwanga.
 
Mimi namuona Lewandoski ndani ya Dejan(Mzungu) tumpe muda tu.
 
Kocha kwanza mambo mengine baadae au kama vipi tumrudishe Uchebe au kukukishingo ila kwa huyu babu wa Ukreine hapana kwakweli.
 
Back
Top Bottom