Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
- Thread starter
- #21
Comments za huwa zinasema wewe anza kufuatilia.Atheist gani alishawahi kujitabainisha hapa JF yeye ni tajiri?
Leta uthibitisho hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comments za huwa zinasema wewe anza kufuatilia.Atheist gani alishawahi kujitabainisha hapa JF yeye ni tajiri?
Leta uthibitisho hapa.
Hawawamini katika uwepo wa Mungu.Atheist mnaamini kwenye nini
Kupumua kwangu kuna husiana vipi na huyo Mungu?Daima Mungu anajidhihirisha sana, kupumu kwako, mifumo yako
Nikisha sadiki yeye inamsaidia nini?ya mwili yanavyofanya kazi ni ushahidi tosha au unataka alete
gharika kuu ndio usadiki.
Wewe si umeshafuatilia ndio maana umekuja na kufungua uzi kabisa,Comments za huwa zinasema wewe anza kufuatilia.
Sure but you can make it more clear.NOMA SANA
Constant dripping hollows the stone.
Unathibitisha vipi mbunye iliumbwa?Wanaamini kwamba mbunye ipo, ila hawamuamini aliyeiumba.
Muda wake ukifika wa kutaka kujidhihirisha kwa mwili anafanya hivyoKupumua kwangu kuna husiana vipi na huyo Mungu?
Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.
Sio kurukia kusema mifumo yangu na kupumua kwangu ni Mungu.
Hakuna Mungu anaye nifanya nipumue.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
Nikisha sadiki yeye inamsaidia nini?
Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.
Huwa wanasema wazi kuwa hao waoamini kuna Mungu mbona asiwaWewe si umeshafuatilia ndio maana umekuja na kufungua uzi kabisa,
Sasa hebu leta comment yeyote ya Atheist akijitamba yeye ni tajiri.
Mnaamini nini sasaHawawamini katika uwepo wa Mungu.
Sio mimi, mimi naamini Mungu yupo ila kuna wasio amini hiloMnaamini nini sasa
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?Muda wake ukifika wa kutaka kujidhihirisha kwa mwili anafanya hivyo
Ila kama mtu unahitaji hilo ni uamini kuwa yupo ni imani haba kama
Thomaso. Ni bora anaye amini bila kuona.
Huku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.
Sio lazima kufanikiwa kwa mali wapo ambao wanaamini wanafikiria kwa ukubwa nb wanamaanisha wamefanikiwa kutambua zaidi ya wengineAtheist gani alishawahi kujitabainisha hapa JF yeye ni tajiri?
Leta uthibitisho hapa.
Mungu alikupa akili na utashi hivyo hakuwa na sababu ya kukudictateHuyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Watoto unaowalea huwa wanakutii wote na kufanya unavyotaka?Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?
Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?
Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Ndio ni kweli kabisaSio lazima kufanikiwa kwa mali wapo ambao wanaamini wanafikiria kwa ukubwa nb wanamaanisha wamefanikiwa kutambua zaidi ya wengine
Hakuna Mungu aliyenipa Akili.Mungu alikupa akili na utashi hivyo hakuwa na sababu ya kukudictate
Ni sawa ila sijasema ni wote ila nimesema wengi. Watu wakawaidamleta mada naomba nikusahihishe kidogo
worldviews za mtu hazitegemei elimu yake, wala uchumi wake
na ndio maana wapo atheists matajiri na pHD holders wacha Mungu
Si ndio hapo? ni utashi wa mtu.Watoto unaowalea huwa wanakutii wote na kufanya unavyotaka?