Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Salamu kwenu Atheist wa Jamii Forums

Daima Mungu anajidhihirisha sana, kupumu kwako, mifumo yako
Kupumua kwangu kuna husiana vipi na huyo Mungu?

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Sio kurukia kusema mifumo yangu na kupumua kwangu ni Mungu.

Hakuna Mungu anaye nifanya nipumue.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.
ya mwili yanavyofanya kazi ni ushahidi tosha au unataka alete
gharika kuu ndio usadiki.
Nikisha sadiki yeye inamsaidia nini?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.
 
Kupumua kwangu kuna husiana vipi na huyo Mungu?

Kwanza thibitisha uwepo wa huyo Mungu, yeye kama yeye.

Sio kurukia kusema mifumo yangu na kupumua kwangu ni Mungu.

Hakuna Mungu anaye nifanya nipumue.

Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo.

Nikisha sadiki yeye inamsaidia nini?

Huyo Mungu kama yupo ajitokeze hadharani mwenyewe ajidhihirishe yupo kama ana huo uwezo.
Muda wake ukifika wa kutaka kujidhihirisha kwa mwili anafanya hivyo

Ila kama mtu unahitaji hilo ni uamini kuwa yupo ni imani haba kama
Thomaso. Ni bora anaye amini bila kuona.
 
Wewe si umeshafuatilia ndio maana umekuja na kufungua uzi kabisa,

Sasa hebu leta comment yeyote ya Atheist akijitamba yeye ni tajiri.
Huwa wanasema wazi kuwa hao waoamini kuna Mungu mbona asiwa
saidie wawe matajiri? Si bora sisi hatuamini na maisha yetu yapo vizuri.
 
Muda wake ukifika wa kutaka kujidhihirisha kwa mwili anafanya hivyo

Ila kama mtu unahitaji hilo ni uamini kuwa yupo ni imani haba kama
Thomaso. Ni bora anaye amini bila kuona.
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
Huku kukata kwao tuu ni udhihirisho tosha kwamba Mungu yupo!Hata Yuda alimkataa Yesu pamoja na kupona matendo ya Yesu akiponya vipofu,Vilema nk.
Atheist gani alishawahi kujitabainisha hapa JF yeye ni tajiri?

Leta uthibitisho hapa.
Sio lazima kufanikiwa kwa mali wapo ambao wanaamini wanafikiria kwa ukubwa nb wanamaanisha wamefanikiwa kutambua zaidi ya wengine
 
Mtu anajua kabisa kazaliwa na baba yake lakin haamini uwepo wa Mungu.
 
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Mungu alikupa akili na utashi hivyo hakuwa na sababu ya kukudictate
 
Huyo Mungu kama yupo, Kwa nini aliumba binadamu wasio mwamini?

Huyo Mungu, Alishindwaje kuumba binadamu wema tu watakao mtii na kumwamini siku zote na wakati wote?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Watoto unaowalea huwa wanakutii wote na kufanya unavyotaka?
 
mleta mada naomba nikusahihishe kidogo

worldviews za mtu hazitegemei elimu yake, wala uchumi wake

na ndio maana wapo atheists matajiri na pHD holders wacha Mungu
Ni sawa ila sijasema ni wote ila nimesema wengi. Watu wakawaida

ni wachache sana wenye kiburi cha kusema hakuna Mungu hata kama
hawaendi kwenye ibada ila wanasadiki kuna Mungu.
 
Back
Top Bottom