Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. Hili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ni salamu ya kitaifa kwelikweli😀😀
1.Asalam aleykumu
2.Tumsifu Yesu kristu
3.Bwana Yesu asifiwe
4.Bwana yesu atukuzwe
Tutakutana nazo ibadani😅😅😅
Ni kweli maani hii siyo nchi ya wapaganiATAKAE NIONEA AIBU NA MIMI NITAMUONEA AIBU.
Hii ni sheria ya Mungu apinge,ugalegale, ufanyeje hata uwe nani, itabakia hivyo milele.
Bwana Yesu Asifiwe,EllySkyWilly tumsifu Yesu kristu
Roho I radhi ila mwili ni dhaifu. Endelea kupambana ndugu.mara nyingi tu ila kwa bahati mbaya, natamani kuacha lakini nashindwa
Bwana Yesu Asifiwe, Nakusalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu aliyeumba jua, mwezi, nyota, bahari, maziwa, mito, mbingu, nchi, na vyote vilivyomo.
Napambana mkuu,Roho I radhi ila mwili ni dhaifu. Endelea kupambana ndugu.
Umeisha comment tayari ndugu yangu. Jitahidi tu kuacha uzinzi.Mimi sitacomment chochote, katika uzi huu sitaki kutenda dhambi, dhambi yangu ya uzinzi inanitosha. 😷
hahahahahahaaaaaaaUmeisha comment tayari ndugu yangu. Jitahidi tu kuacha uzinzi.
Kabisa aisee nimeipenda sana sanaNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ni salamu ya kitaifa kwelikweli😀😀
1.Asalam aleykumu
2.Tumsifu Yesu kristu
3.Bwana Yesu asifiwe
4.Bwana yesu atukuzwe
Tutakutana nazo ibadani😅😅😅
Bimkubwa mama rais yuko vizuriNawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.
Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.
Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
Maskini mwendazake.. Ndio keshasahaulika ivyoNimeipenda ina ongeza uzalendo
Wimbo wa taifa unatosha,salamu za kidini zinatuchelewesha na kuyatenga makundi mengine ya kiimani.anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. JHili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Ndo mara ya kwanza kusikia hilo neno? Mbona kama mnamchora mama wa watu nyie MATAGA?! Watanzania tunawazoom tu.Hii iko bomba.
Wote kwa pamoja mnaitikia "udumu Muungano"Je tunaitikia vipi?
Idumu jamuhuriJe tunaitikia vipi?
Kaacha somo kubwa kwa viongozi mkuu waishi bila chuki kwa raia wawe na usawa maana hakuna ajuae muda wa kuondoka!Maskini mwendazake.. Ndio keshasahaulika ivyo