Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

Ndo mara ya kwanza kusikia hilo neno? Mbona kama mnamchora mama wa watu nyie MATAGA?! Watanzania tunawazoom tu.
Watanzania ndo mlipiga kura CCM ikapata ushindi wa kishindo uchaguzi wa 2020.
Hongereni sana watanzania,endeleeni tu kutu zoom.
 
SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Umewafikiria walio na imani tu (Dini), vipi kuhusu wasio na hizo imani zenu za mapokeo?
Nionavyo Mama hapa
anachotaka kutuamininisha hapa ni kwamba masuala ya Mungu yakae pembeni na hii alianza tangu JPM akiwa mahututi na ndiyo maana hakusema tumwombee. Kiongozi wa nchi anapojaribu kuonyesha kuwa Mungu siyo muhimu siyo tu ushamba na ulimbukeni bali pia kukaribisha maafa ndani ya nchi. Atueleze ni akili ya namna gani aliyotumia kinyume na marais waliopita na kuamua kuwa kwenye taifa hili Mungu asitajwe kabisa?. JHili halikubaliki maani ni kuonyesha kuwa hii ni nchi ya wapagani.
Mungu yupo rohoni mwako. Unaposema tumsifu Yesu Kristu, ilhali wewe ni Muislamu inaleta mantiki gani? Acha ujinga kenge wewe na kujifanya mjuaji wakati umefumba macho huuoni ukweli wala uhalisia.Bure kabisa...!
 
Rais wetu toka akiwa Makamu wa Rais alipenda, kusalimia salaam alykum! Alikuwa hataji salamu zingine, nadhani kuna uzi humu uli hoji! Sasa kaona aje kivingine. Ila mie nasema. Kusalimiwa kwa Jamhuri ya Muungano wala haiji. Sasa tunaitikia vipi! Heri enzi za mkapa yeye alitumia Mambo!
Mara huyu Rais wetu atoe salamu ya vidole vitatu na kitobo! Nilijiuliza hii alama ya nini tena? Rais awe makini. Asilazimishe baadhi ya salamu utadhani tuko kwenye washa au Makongamano. Huko ndo uwa kuna kila salamu na alama kadha wa kadha. Taifa letu linatambua Mungu yupo, hata Bunge uanza kwa maombi. Akijifanya ati hana time, nakwambieni, kuna jambo litatokea.
Amerika, kila kitu wanaanza na Mungu, nchi za Arabuni pia zinaanza na Mungu.
Zile salamu zilituweka pamoja, zilitufanya tujue Mungu yu nasi. Mhe. Rais tafakari sana kabla ujapokea ushauri.
 
Rais wetu toka akiwa Makamu wa Rais alipenda, kusalimia salaam alykum! Alikuwa hataji salamu zingine, nadhani kuna uzi humu uli hoji! Sasa kaona aje kivingine. Ila mie nasema. Kusalimiwa kwa Jamhuri ya Muungano wala haiji. Sasa tunaitikia vipi! Heri enzi za mkapa yeye alitumia Mambo!
Mara huyu Rais wetu atoe salamu ya vidole vitatu na kitobo! Nilijiuliza hii alama ya nini tena? Rasi awe makini. Asilazimishe baadhi ya salamu utadhani tuko kwenye washa au Makongamano. Huko ndo uwa kuna kila salamu na alama kadha wa kadha. Taifa letu linatambua Mungu yupo, hata Bunge uanza kwa maombi. Akijifanya ati hana time, nakwambieni, kuna jambo litatokea.
Amerika, kila kitu wanaanza na Mungu, nchi za Arabuni pia zinaanza na Mungu.
Zile salamu zilituweka pamoja, zilitufanya tujue Mungu yu nasi. Mhe. Rais tafakali sana kabla ujapokea ushauri.
Basi unapendekeza Nini?akitoka aseme kwio uridhike au?🤣mama yuko sawa🙏
 
Punguza kulalamika hyo salamu iko Bomba, tofauti na hzo salamu aleko, Mara tumsifu yesu kristo kwenye Mambo ya public doesn't make Sense zibaki huko huko misikitini na makanisani
 
Silalamiki ila nimeeleza mawazo yangu kama uelezavyo yako. Nipo huru kutoa maoni.
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.

Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.

Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.
rais wetu Samiah yuko vzr sana, mataga wote wajifunze uongozi kwake.
 
Punguza kulalamika hyo salamu iko Bomba, tofauti na hzo salamu aleko, Mara tumsifu yesu kristo kwenye Mambo ya public doesn't make Sense zibaki huko huko misikitini na makanisani
Sa y kwenye kuapishwa wanatumia biblia na msaafu kama ndo hvyo wawe na apisha na kitabu na JMT
Dini zipo na ziheshimike ,yy kama haweze kusema Bwana Asifiwe atumie hiyo hiyo ya kwao
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.

Hii ni salamu bora kutokea toka tumepata uhuru.

Mama endelea kutumia hii salamu kila mara.

Salamu hii haina ubaguzi, ni salamu yenye kuunganisha Taifa.

Siungi mkono hoja!

Mh Rais tumia Salamu za imani zilizopo usiogope kusema kuwasalimu watanzania kwa imani zao wala sio ushamba ni jambo jema!

Hii naomba urekebishe sio nzuri wala haipendezi!

“CCM mbele kwa mbele”
 
Back
Top Bottom