Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu
Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy
Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss, nakumiss
Wenye povuuu Mimi na kusaidia kuwapa DEDICATION.

MARIA SALOME (WENYE WIVU WAJINYONGE)_SAIDA KAROLI 😁
 
Back
Top Bottom