Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
Mkuu ,Hapana bruh siwezi beba majukumu ya mzazi wake kisa papuchi, i can't....
Nipo natafuta mamsapu huyo ndo atakaye faidi my money Ila sio Hawa vibaka kwa kisingizio Cha penzi 😂
Au nikutafutie mshangazi hapa ilala Ila nakuhurumia usije kua kama NUH MZIWANDA.
Haaahaa 😊 😆 natania TU ndugu yangu.
#Tunza kibunda ndoa ni scam utapeli wizi na ujambazi
🖕Hio ndio hashtags za TEAM KATAA NDOA 😊😊