Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

secretarybird mdogo etu anaogopa mishangazi naomba utoe neno lakoo ndugu yangu ☺️😊

Kweli mkuu ni vyema kujipanga na kuwa na financial freedom Ila sisi tulichagua kwenda na vyotee na tukasema tutakutana navyo mbele kwa MBELEE
Monetary doctor
Kwa sasa anawaogopa mishangazi lakini mambo yokimfika kwa shingo anaweza akautupa uamuzi wake kisha akazama mazima katika Ulimwengu wa mishangazi.

Hata Mimi nilikuwa na mtazamo kama wake laki tizama Leo hii nilivyozama katika Ulimwengu wa mishangazi.

Muda utanena!

Nimetuma wakusalimie barua pia nimetuma usomeee,

Nikiwa nikitembea aaah mara kwa .ara hukumbuka mapenzi yetu vip marina,

Mapenzi sio kitu kipya duniani yalianza na adamu na Hawa eeh
 
Nimetuma wakusalimie barua pia nimetuma usomeee,

Nikiwa nikitembea aaah mara kwa .ara hukumbuka mapenzi yetu vip marina,

Mapenzi sio kitu kipya duniani yalianza na adamu na Hawa eeh
Mapenzi ya simu siyawezi, lazima mbususu ya mshangazi ifanywe kitu kibaya.
 
Yule ndo aliyepewa 7800 na Magallah 2019?
 
Attachments

  • 20250618_223013.jpg
    20250618_223013.jpg
    41.2 KB · Views: 14
Eeeeehhh. 😹😹😹
Nyie hatimaye mbaga kapata demu!!
Karibu wifi next time mwambie akulete kkoo nikupe zawadi ya kijora kabla hujarudi mkoani.,!! 🤣
 
Nakusalimia tu boss wangu uliye mbali na mboni ya macho yangu
Haiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!,umenizururisha kwenye hilo jiji ,kidogo nilifahamu, nilieenjoy
Nitarudi tena,nakumis , nakumiss, nakumiss, nakumiss
mbaga ndie aliekuwa wa kwanza kuwaogopesha wadau kumbe alikua anajitengenezea mazingira.. Mbaga Jr huo urefu wake na yeye mmeandana vipi umetuwakilisha vyema??
 
Afro binti wa sagana eeeh

Usiniweke pembeni mama aah,

Ingawa wapo wengi wazurii mamii,

Nimeridhika kuwa na wewe eeh,

Tabia zako sawa na sura yako,

Mengine mengi sisemi Afro mpka siku tutapoona Mami

Na Tz pia tufike ukawaone baba na mama eeh
Hii ni ya Les wanyika au.
 
Back
Top Bottom