Bill
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 10,703
- 11,816
😎Mkapime UTI sasa
😎Mkapime UTI sasa
Hapo nan kamuambukiza mwenzieMkapime UTI sasa
Kaka naomba ABCD za ke wa mtwaraNjoo na mtwara sasa uje kumaliza mshahara nibakie na amani ya moyo
Malaya hasikitishwi.Inasikitisha sana
Bado nabisha, huenda. Mna mchezeshea Mbaga Jr faulo, ili ionekane ni yeye na sio wewe😂🤣
Utakuwa umeambukizwa mkuu 😅😅Hapo nan kamuambukiza mwenzie
Kabisa huyu DIVISHENI FOO kaja kivingine tu hakuna cha cutelove hapa wala nini🤔Mkawatapeli wengine mamaeh.
Mkuu,Safi mkuu
Dah hapa nina kazi ya kuandika , sema sio kinyonge sana pembeni nina mzinga wa vodka taratibu na kibarafu kwa mbali nalainisha koo lisikauke sanaMkuu,
Ndio nai anza weekend muda huuu
Kama uliachwa bila kuliwa,jitathmini muonekano wako,yawezekana we una sura personal plus,ila jamaa hakutaka kukwambia.Wanaume tuna siri sana.Usiwaze ngono,just friends
Fala 😂
Tajiri naomba kaziMimi Tajiri, pedesheee, Le papaa manager, monetary doctor
Kwamba mm n mbahili kinoma noma 😂Mbaga lazima ni mpare...Nina uhakika wewe ndio sponsor wa safari yako nzima😂😂