Salamu za dhati kwa Mbaga Jr, nitarudi Dar tena

Mahusiano yenye afya nihonge? Sina hela mmi, 😂

Nikiombwa tuu vocha naona dharau hizi natia block
Mkuu,
Ukiweka ubahiri unapataje mbususu/ papuchi

Siku zoteee cheza kama DRAFT yaani sukuma kete iliwe then na wewe ndipo ULE 🤣😂😂
 
Hapana bruh siwezi beba majukumu ya mzazi wake kisa papuchi, i can't....

Nipo natafuta mamsapu huyo ndo atakaye faidi my money Ila sio Hawa vibaka kwa kisingizio Cha penzi 😂
 
Unafeli Mnama mpaka saiv inatakiwa uwe tayari na watchlist yako kama watano hivi unawa-rate taratibu kutokana na malengo yako mwenye marks nyingi unaenda nae usharika wa Kimashuku mkaape
 
Back
Top Bottom