Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Ndiyo ndiyo koba(zi)Liturujia si ndiyo?
Ndiyo ndiyo koba(zi)Liturujia si ndiyo?
Mm naomba uonje game langu Afu unilinganishe na hao wengine wakoHuyo kuku mgeni ana Kamba mguuni!!
Ngoja akutane na wenye mitalimbo km ajaomba mods wafute uzi huu 😹😹😹
😂😂😂😂😂😹😹😹 Naandaa sare mambo leleleee!!
Shughuli tunayo, wifi mtu naomba mnitunze andaa pambe zako mji lazima utikisike huu!!
Kujichosha sitaki 😹😹😹Mm naomba uonje game langu Afu unilinganishe na hao wengine wako
Udugu mambo😂😂😂😂😂
Udugu nimecheka, kuna clip nimeona huko tiktok, wajomba maresh wako Lelelele, afu ni mbagala huko.
Hadi naogopa, kuna vidampa wamebanguka Co mchezo, kunae huyo ndo anakulana mate na basha wake live, watu hawana time.
Uswazi hapanaa, km mbeleeee, 😂😂😂😂😂
Mbona utatikisika haswaa, Pambee watakuwepo na watatamba, Uwiiiih
Utafurahia show 😎Kujichosha sitaki 😹😹😹
Mimi ni Roman mkuu naomba tuheshimiane kidogo.Ndiyo ndiyo koba(zi)
Waambie waje na mchezo wa pesa wanitunze dollar sitaki pesa MADAFU 😹😹😹😂😂😂😂😂
Udugu nimecheka, kuna clip nimeona huko tiktok, wajomba maresh wako Lelelele, afu ni mbagala huko.
Hadi naogopa, kuna vidampa wamebanguka Co mchezo, kunae huyo ndo anakulana mate na basha wake live, watu hawana time.
Uswazi hapanaa, km mbeleeee, 😂😂😂😂😂
Mbona utatikisika haswaa, Pambee watakuwepo na watatamba, Uwiiiih
Ngoja nikutag Kuna mlokole kawavaa waromaMimi ni Roman mkuu naomba tuheshimiane kidogo.
Niliichezea chetezo haswa na divai nilikuwa napiga zote.
Mlokole gani huyo?Ngoja nikutag Kuna mlokole kawavaa waroma
SetfreeMlokole gani huyo?
Wizo umenisusa baada ya kupewa ushauri na shangingi la JF EVE.😹😹😹 Naandaa sare mambo leleleee!!
Shughuli tunayo, wifi mtu naomba mnitunze andaa pambe zako mji lazima utikisike huu!!
😂😂😂😂Waambie waje na mchezo wa pesa wanitunze dollar sitaki pesa MADAFU 😹😹😹
Waambie mshangazi wa kikinga kutoka kkoo anawaita mchafue ukumbi kwa dollars 🤣🤣
Moet zipo za kutosha wataoga bila sabuni 👌
Poaa uduguu, vipi wee?!Udugu mambo
🤔Setfree
Weweweeeeee..!!! 👌😹😹😂😂😂😂
Watakuja kukupa had 💷, si unajua wana sifa hatarii.
Andaa kapu hilo, litajazwa manotiii.
Haswaaaa!! 😂😂😂😂Weweweeeeee..!!! 👌😹😹
Shuhuli tunayo na tunatamba nayo…!!
Yaani ni bahili na nusu😂😂😂Kwamba mm n mbahili kinoma noma 😂