Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Ndiyo ndiyo koba(zi)Liturujia si ndiyo?
Mm naomba uonje game langu Afu unilinganishe na hao wengine wakoHuyo kuku mgeni ana Kamba mguuni!!
Ngoja akutane na wenye mitalimbo km ajaomba mods wafute uzi huu πΉπΉπΉ
ππππππΉπΉπΉ Naandaa sare mambo leleleee!!
Shughuli tunayo, wifi mtu naomba mnitunze andaa pambe zako mji lazima utikisike huu!!
Kujichosha sitaki πΉπΉπΉMm naomba uonje game langu Afu unilinganishe na hao wengine wako
Udugu mamboπππππ
Udugu nimecheka, kuna clip nimeona huko tiktok, wajomba maresh wako Lelelele, afu ni mbagala huko.
Hadi naogopa, kuna vidampa wamebanguka Co mchezo, kunae huyo ndo anakulana mate na basha wake live, watu hawana time.
Uswazi hapanaa, km mbeleeee, πππππ
Mbona utatikisika haswaa, Pambee watakuwepo na watatamba, Uwiiiih
Utafurahia show πKujichosha sitaki πΉπΉπΉ
Mimi ni Roman mkuu naomba tuheshimiane kidogo.Ndiyo ndiyo koba(zi)
Waambie waje na mchezo wa pesa wanitunze dollar sitaki pesa MADAFU πΉπΉπΉπππππ
Udugu nimecheka, kuna clip nimeona huko tiktok, wajomba maresh wako Lelelele, afu ni mbagala huko.
Hadi naogopa, kuna vidampa wamebanguka Co mchezo, kunae huyo ndo anakulana mate na basha wake live, watu hawana time.
Uswazi hapanaa, km mbeleeee, πππππ
Mbona utatikisika haswaa, Pambee watakuwepo na watatamba, Uwiiiih
Ngoja nikutag Kuna mlokole kawavaa waromaMimi ni Roman mkuu naomba tuheshimiane kidogo.
Niliichezea chetezo haswa na divai nilikuwa napiga zote.
Mlokole gani huyo?Ngoja nikutag Kuna mlokole kawavaa waroma
SetfreeMlokole gani huyo?
Wizo umenisusa baada ya kupewa ushauri na shangingi la JF EVE.πΉπΉπΉ Naandaa sare mambo leleleee!!
Shughuli tunayo, wifi mtu naomba mnitunze andaa pambe zako mji lazima utikisike huu!!
ππππWaambie waje na mchezo wa pesa wanitunze dollar sitaki pesa MADAFU πΉπΉπΉ
Waambie mshangazi wa kikinga kutoka kkoo anawaita mchafue ukumbi kwa dollars π€£π€£
Moet zipo za kutosha wataoga bila sabuni π
Poaa uduguu, vipi wee?!Udugu mambo
π€Setfree
Weweweeeeee..!!! ππΉπΉππππ
Watakuja kukupa had π·, si unajua wana sifa hatarii.
Andaa kapu hilo, litajazwa manotiii.
Haswaaaa!! ππππWeweweeeeee..!!! ππΉπΉ
Shuhuli tunayo na tunatamba nayoβ¦!!
Yaani ni bahili na nusuπππKwamba mm n mbahili kinoma noma π