NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Ufipa ndo mnajitambua,hata ofisi mmeshindwa kupiga rangi.Hujitambui pumbaaaf na kibaraka mkubwa wa CCM....!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufipa ndo mnajitambua,hata ofisi mmeshindwa kupiga rangi.Hujitambui pumbaaaf na kibaraka mkubwa wa CCM....!!!
Heri ya mwaka mpya kwako my bro💥💣Kama alishindwa kuingiza watu rodi kama alivyoahidi,ataweza kudai tume huru,au anawaingiza chaka wenzie uku yeye akijificha ughaibuni kula bata?
Na wewe pia.Heri ya mwaka mpya kwako my bro[emoji95][emoji378]
Sijui kama ni 'TATIZO' kwetu, au ndiyo neema aliyotujalia Mungu: waTanzania hatuna kumbukumbu.
Lakini Mbatia na Lipumba sidhani kama ni wasahaulifu. Wao wanautumia usahaulifu wa waTanzania, wakijua kuwa ukigeugeu wao umesahaulika...ccm na dola huandama na kuwa violent dhidi ya chama ambacho kinaelekea kukubalika na waTz.
..vilevile humuandama na kumchafua mwanasiasa ambayo anatishia kuwazidi umaarufu.
..Sijui ni kwanini James Mbatia, Prof.Ibrahim Lipumba, na wenzao walisahau machungu waliyopitia wakati vyama vyao viko ktk nafasi waliyokuwa nayo Chadema ktk kipindi cha 2015 -- 2020.
..Sijui ni kwanini Mbatia na Lipumba walikuwa wakiwapinga na kuwazodoa wenzao ktk upinzani kuliko walivyokuwa wakiipinga CCM.
..CCM huwa na wema na wenye moyo wa upendo kwa chama na mwanasiasa asiyekuwa tishio kwao. Kinyume cha hapo ni mkong'oto tu.
Ninakubaliana nawe kwenye hilo la kwanza alilotuepusha nalo Mwenyezi Mungu.KAMA KUNA MWAKA TENA WA UCHAGUZI NA KUFANYA KAMA ILIVYOFANYIKA KWENYE UCHAFUZI WA MWAKA 2020 ITAKUWA NI KUMCHOKOZA NA KUMTANIA MUNGU. KATI YA MAMBO MAKUBWA ALIYOTUEPUSHA MUNGU KWA MWAKA 2020 BASI KUBWA LA KWANZA NI KUWAFANYA WATANZANIA WAACHILIE NA KUNYAMAZIA KILICHOFANYIKA KWENYE UCHAGUZI WA MWAKA 2020 NA LA PILI LINALOFUATA KWA UKUBWA NI KUTUOKOA TOKA MIKONONI MWA CORONA.
Kwa hili la pili naungana nawe kabisa. Hatujaepushwa na Corona eti kwa sababu ya mtu fulani au watu fulani waliomba iwe hivyo. Ni huruma za Mungu tu. Kama ni maovu sisi ni waovu pengine kuliko nchi yoyote Africa. Watu wanapotea, wanapigwa risasi, n.k. Ni huruma tu za Mungu na tusipojirekebisha twaweza kuja kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia wakabaki hao ambao bado wanasumbuka na Corona. Halafu tunaongozwa na jitu katili kuliko IbilisiNinakubaliana nawe kwenye hilo la kwanza alilotuepusha nalo Mwenyezi Mungu.
Hili la pili, tusilifanye kama Tanzania ndi nchi pekee duniani iliyoepuka janga hili. Kwa Afrika, hata Burundi wanayo haki ya kumshukuru Mungu na janga la COVID, DRC na nchi nyingi nyingine Africa.
Hatujui kinga aliyotuwekea Mungu imetokana na nini hasa, lakini tungekuwa werevu kidogo tungefanya juhudi za kutaka kujua.
Hili la kujigamba ni maombi tuliyompelekea ni kumdhihaki Mungu katika utukufu wake.Hao wengine hawana maombi? au sisi ni wachoyo kiasi kwamba hatuwezi kuwaombea wenzetu nao awaepushe na janga?