Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
WAZIRI MKUU WA UINGEREZA

Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli

IMG_20210318_030821_580.jpg


RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA

Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa wake wa #Twitter

Amtaja kama rafiki na Kaka yake mpendwa

0001-18463031092_20210318_024507_0000.png


MWANAMUZIKI JOSE CHAMELEON

Mwanamuziki nguli kutoka nchini Uganda, Jose Chameleon amemtaja Rais Magufuli kama mwanamapinduzi wa kweli wa maendeleo ya Afrika
0001-18463493486_20210318_025812_0000.png


UBALOZI WA CHINA NCHINI

Salamu za rambirambi zimetolewa kupitia #Twitter na Ofisi ya Ubalozi wa Nchi ya China nchini

Ubalozi huo umeeleza kuwa jitihada za #Magufuli katika kukuza mahusiano baina ya China na Tanzania zitakumbukwa
0001-18463734182_20210318_030510_0000.png
 
Africa ina simama kwa muda yule kiboko ya beberus ametutoka,nichukue nafasi hii kuwapa pole waafrika wote na watanzania wenzangu.
Akili zakimumiani hizi, eti kiboko wa Mabeberu, loh. Hivi yale makinikia yako wapi?
 
Ukiachilia mbali rekodi yake kwenye masuala ya utawala bora na haki za binadamu, Magufuli alipigania sana kumuinua mtanzania wa kawaida, ali-focus sana akili yake hapo mpaka akasahau mambo mengine ya demokrasia.
 
Nyingi ya hizi salamu ni diplomasia ya kawaida tuu lakini kiuhalisia ni unafiki mtupu.
 
Nambie mkuu wa walozina wachawi, sherehe yenu wapi leo? Au mtaomboleza nasi tunaoomboleza!?
 
Back
Top Bottom