Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Hatari snCha nduguwai tena?[emoji848][emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari snCha nduguwai tena?[emoji848][emoji848]
Kuna Vichaaa na Wenye Akili, tumpe pole tuu kwa Ukichaa wake. Haelewi kama Mungu hadhihakiwi.Mafunzo; Mungu anachukia sana kufuru.
Pengo linazibika , Ila katika familia halitazibika. Apumzike kwa amaniPengo lake halitozibika
SEMA baadhi ya watanzania wanyonge sio wote hasa wa upande ule.Ukiachilia mbali rekodi yake kwenye masuala ya utawala bora na haki za binadamu, Magufuli alipigania sana kumuinua mtanzania wa kawaida, ali-focus sana akili yake hapo mpaka akasahau mambo mengine ya demokrasia.
Kwanini? Ukiona pengo lake halizibiki basi ujue hakuwa kiongozi mzuri.Pengo lake halitozibika
Ali declare hadharani kuwa kuna waliokuwa wanaishi kama malaika, katika utawala wake wataishi kama mashetani. Hili alilisema hadharani..Ukiachilia mbali rekodi yake kwenye masuala ya utawala bora na haki za binadamu, Magufuli alipigania sana kumuinua mtanzania wa kawaida, ali-focus sana akili yake hapo mpaka akasahau mambo mengine ya demokrasia.
Ww unawaza katiba mda huu ila kuna siku utamkumbuka huu jembe alie tutoka kuna siku utanasa sehem na utakumbuka jamaa alivo kua anawabana watu kutuonea sisi wanyongeMama Samia tuachie katiba mpya.
[emoji33]Aisee..
Nawambieni msiposema kwamba ni JPM ni shujaa na mwamba wa Afrika hakika madaraja na maflaiova yatasema na barabara zitalalamika kwa kusagasaga tairi za magari yenu kila mtakapo funga breki na kuwakumbusheni.