JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,249
- 5,747
Of course let say members 15k wangedonate 500 jf ingepata 7.5MPongezi sana kwa Mshana. Ila hayo makusanyo yanaashiria watu hawana imani na Mshana. Pia ni wazi kuwa kwenye jambo muhimu watu huingia mitini.
Kilichotokea kwenye huu mchango ndo kitakachotokea tarehe 29. Keyboard Warriors lazima waingie mitini.Of course let say members 15k wangedonate 500 jf ingepata 7.5M
hili zoezi linatakiwa kurudiwa kwa uzito kidogo.
Ngoja tuone vyenye itakua.Kilichotokea kwenye huu mchango ndo kitakachotokea tarehe 29. Keyboard Warriors lazima waingie mitini.
Zoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.Of course let say members 15k wangedonate 500 jf ingepata 7.5M
hili zoezi linatakiwa kurudiwa kwa uzito kidogo.
Wangetoka frontZoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.
Zoezi lirudiwe!
Pongezi sana kwa Mshana. Ila hayo makusanyo yanaashiria watu hawana imani na Mshana. Pia ni wazi kuwa kwenye jambo muhimu watu huingia mitini.
Huyu atakuwa ni moja ya chawa wao anapeleka taarifa huko kuhusu yanayoendelea hukuKwenye uzi wa Mshana(ambaye umempa pongezi kwenye uzi huu wa shukurani) ulimpa dislike kwenye post yake
Kitaalamu sijajua ni nini hiiView attachment 3480008