Salamu za Shukrani kwa Wanachama wa JamiiForums

Zoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.

Zoezi lirudiwe!
WAlioomba ufafanuzi ulikuwa mtego, Mello au Mod mwingine yeyote angejitokeza kutoa kauli, ingekuwa NI kesi kubwa kwamba amekiuka zuio Kwa kuendesha JF. Mshana arejeshe Ile namba, uchangiaji ufanyike lakini Mello au Mod wakae kimya ili kutojiingiza matatizo.
Pia anayetuma, asitumie namba yake, tuma direct Kwa wakala maana mifumo inasomana
 
Zoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.

Zoezi lirudiwe!
Naunga mkono hoja.

Ni kama uongozi wa JF uliamua kukaa pembeni na kuamua kumwachia Mshana, hata ushirikiano wao ulikua hafifu sana.
 
Zoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.

Zoezi lirudiwe!
I was going to say this,.
 
Back
Top Bottom