Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Kuna vitu JF wangekuja mbele mbele wangejiingiza matatizoni.Zoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.
Zoezi lirudiwe!
Bora third party alipolibeba jukumu hilo.
Hiyo yote ni kuwapa uongozi wa JF plausible deniability just in case wangeandamwa kukusanya michango.