Salamu za Shukrani kwa Wanachama wa JamiiForums

Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi (https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/) kuhamasisha wanachama na wapenzi wa JF kuungana nasi katika kipindi hiki.

Mpaka kufikia leo Septemba 27, 2025 tumepokea kiasi cha Tsh. 233,603.00/-

Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila aliyejitoa kuungana nasi kwa salamu za pole, kuchangia na hata kuwa nasi kwa njia ya maombi wakati huu JamiiForums imezuiwa kutoa huduma zake nchini Tanzania.

Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha na mnaoendelea kutuonyesha🙏.
Hii ndio shilingi ngapi? 233,603.00/-
 
Utaratibu ukoje kwa walio ndani na nje ya nchi?
 
WAlioomba ufafanuzi ulikuwa mtego, Mello au Mod mwingine yeyote angejitokeza kutoa kauli, ingekuwa NI kesi kubwa kwamba amekiuka zuio Kwa kuendesha JF. Mshana arejeshe Ile namba, uchangiaji ufanyike lakini Mello au Mod wakae kimya ili kutojiingiza matatizo.
Pia anayetuma, asitumie namba yake, tuma direct Kwa wakala maana mifumo inasomana
Mkuu, em tumia akili bc acha uzwazwa.

Kwahy walishindwa kuja kuthibitisha kwamba itakuwa mtego ila waweza kuja kutoa asante, Kwahy kutoa asante sio mtego na hawajakiuka zuio la kuendesha JF?
 
Kuna vitu JF wangekuja mbele mbele wangejiingiza matatizoni.
Bora third party alipolibeba jukumu hilo.
Hiyo yote ni kuwapa uongozi wa JF plausible deniability just in case wangeandamwa kukusanya michango.
Yn akaunti rasmi ya jf ndo unaiita third party 😂 Dah Mkuu Unatumia nn kufikiri?
Yn kuchangisha Unaona italeta shida Ila Kuja kutoa shukrani unaona haiwezi kuleta shida? 😂

Dah ww kweli n mbongo, hizi ndo akili za wabongo 🙌
 
Tatizo sio kutoa michango tatizo mchangishaji nae ni member mwenzetu watu wataaminije kama anachangisha kwa ajili ya JF ama binafsi. Watu walishapigwa sana humu,labda melo angeweka likes yake pale au mod yoyote kutoa go ahead ingenogesha zoezi. Uzi uanzishwe na hii officially account na namba ya lipa wakiwaa huko huko 'malawi'
Kutoa ni moyo sio utajiri! 500 kwa kila memba ingetosha kabisa
 
Tatizo sio kutoa michango tatizo mchangishaji nae ni member mwenzetu watu wataaminije kama anachangisha kwa ajili ya JF ama binafsi. Watu walishapigwa sana humu,labda melo angeweka likes yake pale au mod yoyote kutoa go ahead ingenogesha zoezi. Uzi uanzishwe na hii officially account na namba ya lipa wakiwaa huko huko 'malawi'
Hakika...
 
Yn akaunti rasmi ya jf ndo unaiita third party 😂 Dah Mkuu Unatumia nn kufikiri?
Yn kuchangisha Unaona italeta shida Ila Kuja kutoa shukrani unaona haiwezi kuleta shida? 😂

Dah ww kweli n mbongo, hizi ndo akili za wabongo 🙌
Aliye anzisha huo mchango nani?
Hakuombwa na wachangiaji account itakayo waondoa wasiwasi anataka kuwatapeli michango yao?
JF hapo ameombwa kupewa msaada. Zingatia neno ameombwa.

Kwa mfano wewe uchangishe watu pesa bila kibali upeleke kituo cha watoto yatima au shule fulani uwaombe wapokee michango kwenye account yao direct toka kwa wachangiaji. Hicho kituo kina kosa gani?
Common Sense is not common, especially among common people.
 
Back
Top Bottom