Kuna vitu JF wangekuja mbele mbele wangejiingiza matatizoni.Zoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.
Zoezi lirudiwe!
Lengo la kuchangia ni nini?Of course let say members 15k wangedonate 500 jf ingepata 7.5M
hili zoezi linatakiwa kurudiwa kwa uzito kidogo.
Lengo la kuwachangia ni lipi?Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi (https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/) kuhamasisha wanachama na wapenzi wa JF kuungana nasi katika kipindi hiki.
Mpaka kufikia leo Septemba 27, 2025 tumepokea kiasi cha Tsh. 233,603.00/-
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila aliyejitoa kuungana nasi kwa salamu za pole, kuchangia na hata kuwa nasi kwa njia ya maombi wakati huu JamiiForums imezuiwa kutoa huduma zake nchini Tanzania.
Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha na mnaoendelea kutuonyesha🙏.
Lengo la kuchangia ni lipi?Zoezi lilifanyika kienyeji sana. Watu waliomba ufafanuzi wakaishia kubezwa na kutukanwa (cc. The Icebreaker). Mello au mods ye yote angejitokeza na kutoa ufafanuzi mbona watu wangechanga tu? Mtu kujifanya anajua kila kitu yeye ndo yeye kwenye mambo yanayohusu charity is a big no.
Zoezi lirudiwe!
Na sasa walipokuja kushukuru je?Kuna vitu JF wangekuja mbele mbele wangejiingiza matatizoni.
Bora third party alipolibeba jukumu hilo.
Hiyo yote ni kuwapa uongozi wa JF plausible deniability just in case wangeandamwa kukusanya michango.
Lengo la kuwachangia ni lipi?
Michango kwa ajili ya nini?Kuna vitu JF wangekuja mbele mbele wangejiingiza matatizoni.
Bora third party alipolibeba jukumu hilo.
Hiyo yote ni kuwapa uongozi wa JF plausible deniability just in case wangeandamwa kukusanya michango.
Bado haijafafanua vizuri , kwa nini wanahitaji mchango?
Hata kwenye ule uzi nilimpongeza kwenye commentAfadhali umenipa jina linalokufaa
Acha unafiki mkuu...kudislike ule uzi huku ukaja kutoa pongezi sio sawa
Wanafiki ni nyie mnaojifanya kumuunga mkono Mshana huku hamchangii
tumepata economic depression.Bado haijafafanua vizuri , kwa nini wanahitaji mchango?
A.k.a Joanah mfichua waovu...huyo ni Chawa chawi chawizee! Li infoma la ccmKwenye uzi wa Mshana(ambaye umempa pongezi kwenye uzi huu wa shukurani) ulimpa dislike kwenye post yake
Kitaalamu sijajua ni nini hiiView attachment 3480008
Wewe ni mnafki tu tangu Jana naona wahuni wamekomaa kukupiga spana.Wanafiki ni nyie mnaojifanya kumuunga mkono Mshana huku hamchangii
Kivipi na umethibitisha vipi?tumepata economic depression.
Punguhani ❌ punguani ✅. Acha kuharibu lughaWewe ni mnafki tu tangu Jana naona wahuni wamekomaa kukupiga spana.
Unajionaga una Akili Sana Dada kumbe punguhani kabisa.
Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi (https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/) kuhamasisha wanachama na wapenzi wa JF kuungana nasi katika kipindi hiki.
Mpaka kufikia leo Septemba 27, 2025 tumepokea kiasi cha Tsh. 233,603.00/-
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila aliyejitoa kuungana nasi kwa salamu za pole, kuchangia na hata kuwa nasi kwa njia ya maombi wakati huu JamiiForums imezuiwa kutoa huduma zake nchini Tanzania.
Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha na mnaoendelea kutuonyesha🙏.