konda msafi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2018
- 1,752
- 9,046
Hii ndio shilingi ngapi? 233,603.00/-Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi (https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/) kuhamasisha wanachama na wapenzi wa JF kuungana nasi katika kipindi hiki.
Mpaka kufikia leo Septemba 27, 2025 tumepokea kiasi cha Tsh. 233,603.00/-
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila aliyejitoa kuungana nasi kwa salamu za pole, kuchangia na hata kuwa nasi kwa njia ya maombi wakati huu JamiiForums imezuiwa kutoa huduma zake nchini Tanzania.
Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha na mnaoendelea kutuonyeshaπ.
Ntakutolea my loveππΉπΉπΉ Mawinga hatuna pesa..!!
Huo uzi kuna vitu niliuliza lakini sikupata majibu ya kueleweka nikaamua niachane nao..!!
Lipa sasa sio unajisemesha bure tu hapa πΉπΉNtakutolea my loveπ
Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi (https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/) kuhamasisha wanachama na wapenzi wa JF kuungana nasi katika kipindi hiki.
Mpaka kufikia leo Septemba 27, 2025 tumepokea kiasi cha Tsh. 233,603.00/-
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila aliyejitoa kuungana nasi kwa salamu za pole, kuchangia na hata kuwa nasi kwa njia ya maombi wakati huu JamiiForums imezuiwa kutoa huduma zake nchini Tanzania.
Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha na mnaoendelea kutuonyeshaπ.
Utaratibu ukoje kwa walio ndani na nje ya nchi?Kufuatia zuio lililotolewa Septemba 6, 2025 na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ikisitisha leseni ya utoaji maudhui nchini humo kupitia Jukwaa la JamiiForums kwa siku 90, member wa JF, Mshana Jr alianzisha uzi (https://www.jamiiforums.com/threads/tusimame-na-jf-yetu-kipindi-hiki-kigumu.2387883/) kuhamasisha wanachama na wapenzi wa JF kuungana nasi katika kipindi hiki.
Mpaka kufikia leo Septemba 27, 2025 tumepokea kiasi cha Tsh. 233,603.00/-
Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa kila aliyejitoa kuungana nasi kwa salamu za pole, kuchangia na hata kuwa nasi kwa njia ya maombi wakati huu JamiiForums imezuiwa kutoa huduma zake nchini Tanzania.
Tunathamini sana umoja na mshikamano mliotuonyesha na mnaoendelea kutuonyeshaπ.
Mkuu, em tumia akili bc acha uzwazwa.WAlioomba ufafanuzi ulikuwa mtego, Mello au Mod mwingine yeyote angejitokeza kutoa kauli, ingekuwa NI kesi kubwa kwamba amekiuka zuio Kwa kuendesha JF. Mshana arejeshe Ile namba, uchangiaji ufanyike lakini Mello au Mod wakae kimya ili kutojiingiza matatizo.
Pia anayetuma, asitumie namba yake, tuma direct Kwa wakala maana mifumo inasomana
Huyo jamaa hana akili timamuNa sasa kuleta huu uzi wa shukrani tena kwa kutumia official account ya JF unafikiri bado hawajavunja masharti? π³π³π³
Yn akaunti rasmi ya jf ndo unaiita third party π Dah Mkuu Unatumia nn kufikiri?Kuna vitu JF wangekuja mbele mbele wangejiingiza matatizoni.
Bora third party alipolibeba jukumu hilo.
Hiyo yote ni kuwapa uongozi wa JF plausible deniability just in case wangeandamwa kukusanya michango.
Yah mkuu, sis wngn tuliuliza tukaishia kuitwa Wapumbavu.πΉπΉπΉ Mawinga hatuna pesa..!!
Huo uzi kuna vitu niliuliza lakini sikupata majibu ya kueleweka nikaamua niachane nao..!!
Kutoa ni moyo sio utajiri! 500 kwa kila memba ingetosha kabisa
Hakika...Jf mngesajili lipa namba mkatoa namba kwa wadau wa JF ingepatikana pesa kubwa na sio kwa style iliyotumika hapo.
Hakika...Tatizo sio kutoa michango tatizo mchangishaji nae ni member mwenzetu watu wataaminije kama anachangisha kwa ajili ya JF ama binafsi. Watu walishapigwa sana humu,labda melo angeweka likes yake pale au mod yoyote kutoa go ahead ingenogesha zoezi. Uzi uanzishwe na hii officially account na namba ya lipa wakiwaa huko huko 'malawi'
Aliye anzisha huo mchango nani?Yn akaunti rasmi ya jf ndo unaiita third party π Dah Mkuu Unatumia nn kufikiri?
Yn kuchangisha Unaona italeta shida Ila Kuja kutoa shukrani unaona haiwezi kuleta shida? π
Dah ww kweli n mbongo, hizi ndo akili za wabongo π