Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Mambo Zenyu.
Mie salamu zangu zimuendee watu wote wa jf ambao wanaojitambua.
Je salamu zako alasiri ziende kwa nani.?
Moja kwa moja ziwafikie tanesco popote walipoMambo Zenyu.
Mie salamu zangu zimuendee watu wote wa jf ambao wanaojitambua.
Je salamu zako alasiri ziende kwa nani.?
Zikurudie Unique FlowerMambo Zenyu.
Mie salamu zangu zimuendee watu wote wa jf ambao wanaojitambua.
Je salamu zako alasiri ziende kwa nani.?
1...mshana jr 2. Crocodiletooth 3...paskal mayala.... wote hawa nikiwa sijui walipo....swali la P.mayala EALA imeishaje mbona kimya????Mambo Zenyu.
Mie salamu zangu zimuendee watu wote wa jf ambao wanaojitambua.
Je salamu zako alasiri ziende kwa nani.?
Kwamba wewe ndio marehemu katibu?Ziwaendee Mtumishi Masanja na mkewe
Kabisa, salamu toka kuzimu🤣.Kwamba wewe ndio marehemu katibu?
Wewe hiyo ni akili yako kweliKabisa, salamu toka kuzimu🤣.
Namwambie Baba Mtumishi simlaumu kutomuacha mama mtumishi maana mautundu yake sio ya dunia hii.
wana jf wote.Mambo Zenyu.
Mimi salamu zangu ziwaendee watu wote wa JF ambao wanajitambua.
Je, salamu zako alasiri ziende kwa nani?
Pamoja sana man. Tunazidi kupambana maisha magumu ila si wenyewe wagumu.Salamu zangu ziwaendee Mshana Jr Beesmom Mad Max Antonia mawardat na kaka UMUGHAKA bila kuwasahau hawa GENTAMYCINE kubwa la maadui na mdogo wangu mpwayungu village
Ila pia ziwafikie wote wanaohitaji wapenzi hapa jamvini ila tukiwafuata PM maswali mengi kama interview za Benki kuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena gari la takataka au la mavi.popote ulipo dear x gari likugonge tu uvunjike miguu
🤣🤣🤣🤣Zimwendee Maxence Melo ,
Nakupenda.