Salamu zako Alasiri hii zimuendee nani?

Salamu zako Alasiri hii zimuendee nani?

Mambo Zenyu.

Mimi salamu zangu ziwaendee watu wote wa JF ambao wanajitambua.

Je, salamu zako alasiri ziende kwa nani?
FB_IMG_1665072301138.jpg
 
Ingawa sio alasiri ni usiku sasa.
Ziwaendee..
Shimba ya Buyenze(yo douta missed yu aloti)
Watu8( i griti you anko dereva )
Mshana Jr (ujumbe ankal …kipindi hiki nikija mjini nitakufuata popote utakapokuwa hata kama ni Mogadishu nitaibuka😃)

Salamu zimefika aunt abiria...

Ingekuwa zile enzi zetu za R.T.D ningemuomba Malima Nderema asindikize salamu hizi za kibao matata cha "Rangi ya Chungwa" toka Tabora Jazz Band
 
Hivi bado kuna watuma salamu?Mambo ya siku nyingi sana KBC Nairobi.Akina Surangumu,Surandefu Kyango Mumanyi.😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom