Natamani aniwekee mkono wa maombi kichwaniUbaguzi huo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natamani aniwekee mkono wa maombi kichwaniUbaguzi huo!
Je,ukijiua?😂Natamani aniwekee mkono wa maombi kichwani
Yeee…..💃💃💃💃Salamu zimefika aunt abiria...
Ingekuwa zile enzi zetu za R.T.D ningemuomba Malima Nderema asindikize salamu hizi za kibao matata cha "Rangi ya Chungwa" toka Tabora Jazz Band
One love Ankal ❤️💃💃💃💃One love ankal [emoji173] Nakusuburi kwa hamu
Yeee…..💃💃💃💃
Hata enzi hizi unaweza kukiomba hicho kibao kikanifikia hapa nilipo anko dereva ingawa rangi ninayoiona hapa kwa sasa ni ya chokolete😉😃
Hujambo lakini anko dereva??
Chocolate is the new what🤣🤣🤣nimecheka kwakweli..Ooh yeah, chocolate is the new orange....
Ni mzima wa afya hofu kwako aunt abiria popote pale ulipo...
Chocolate is the new what🤣🤣🤣nimecheka kwakweli..
Nashukuru kama Uko buheri wa afya..👏👏
Popote huku nilipo niko salama sana na Mungu wetu ni mwema 😊😊
🤗🤗🤗
Dear XMambo Zenyu.
Mimi salamu zangu ziwaendee watu wote wa JF ambao wanajitambua.
Je, salamu zako alasiri ziende kwa nani?
Wenye shari hatujapokeaaaKila mwenye kheri na mwenye shari...
Bila kumsahau ERoniMambo Zenyu.
Mimi salamu zangu ziwaendee watu wote wa JF ambao wanajitambua.
Je, salamu zako alasiri ziende kwa nani?
Usikaege kimya sana. Uko poa ?😂😂😂😂 nimekuja lakini saa 2 ya asubuhi
Karibu unidunde cha utundu... Njoo unipe stress...Wenye shari hatujapokeaaa
Leo unaumwa,, nikikustress si itakuwa mbaya 😁Karibu unidunde cha utundu... Njoo unipe stress...