Salamu zako Alasiri hii zimuendee nani?

sAlamu zangu ziwaendee wananch wote waliolala wilayani Songea
 
Salamu zimefika aunt abiria...

Ingekuwa zile enzi zetu za R.T.D ningemuomba Malima Nderema asindikize salamu hizi za kibao matata cha "Rangi ya Chungwa" toka Tabora Jazz Band
Yeee…..πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

Hata enzi hizi unaweza kukiomba hicho kibao kikanifikia hapa nilipo anko dereva ingawa rangi ninayoiona hapa kwa sasa ni ya chokoleteπŸ˜‰πŸ˜ƒ

Hujambo lakini anko dereva??
 
Yeee…..πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ

Hata enzi hizi unaweza kukiomba hicho kibao kikanifikia hapa nilipo anko dereva ingawa rangi ninayoiona hapa kwa sasa ni ya chokoleteπŸ˜‰πŸ˜ƒ

Hujambo lakini anko dereva??

Ooh yeah, chocolate is the new orange....

Ni mzima wa afya hofu kwako aunt abiria popote pale ulipo...
 
Ooh yeah, chocolate is the new orange....

Ni mzima wa afya hofu kwako aunt abiria popote pale ulipo...
Chocolate is the new what🀣🀣🀣nimecheka kwakweli..

Nashukuru kama Uko buheri wa afya..πŸ‘πŸ‘
Popote huku nilipo niko salama sana na Mungu wetu ni mwema 😊😊

πŸ€—πŸ€—πŸ€—
 
Chocolate is the new what🀣🀣🀣nimecheka kwakweli..

Nashukuru kama Uko buheri wa afya..πŸ‘πŸ‘
Popote huku nilipo niko salama sana na Mungu wetu ni mwema 😊😊

πŸ€—πŸ€—πŸ€—

Hahah maana yake badala ya rangi orange sasa mbadala wake utanakuwa chocolate...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…