Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

View attachment 2200989

Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake

Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Usiogope mkopo
Fanya calcualation yako vizuri
Nilikopa 38 M mkopo wa miaka 5
Nikajenga gheto la kuanzia kwenye plot yangu
Ndani ya miezi miwili
Mshahara wangu take home ni 2.3 M
HESLB wana ramba 500K
Bank wana ramba 1M
Nabaki na kama 700K hv
Niliona kuona kuishi nyumba ya kupanga kutafanya akili iwe dormant
Pia nilisha apa kutoa na kuishi na mke wangu nyumba ya kupanga

Mishe mishe zangu kwa mwezi ni 7M - 15M
Maisha yanasonga
 
Ila huyo mwajiriwa hana deni Loan board, kitu ambacho ni kizuri maana board nao ni mzigo mwingine kwa watumishi
Anaweza akawa ameliuza deni la HESLB kwa NMB. Lakini pia unaweza kuwa sahihi kuwa alishamaliza deni la mkopo. Kutokana na salary slip yake, endapo kama alianza kazi na bachelor, generally, not specifically, inaonesha atakuwa na maika kama 15 hivi kazini. Muda ambao unaweza kuwa umetosha kabisa kulipia deni lake la HESLB endapo alikuwa na deni hilo.
 
Rekebisha net uliyoiandika wewe..
Nilichojifunza
Mikopo inatesa

Mikopo inatesa vp kama kaenda kufanya biashara inayomlipa zaidi?

Asikudanganye mtu huwezi kutoboa bila mikopo hata matajiri wanadaiwa.

Siku ukijua how compound interest, return on investment (ROI) works utajua mikopo ni kitu kizuri tatizo ni wakopaji. Jiulize kwanini matajiri na taasisi kubwa zinakopa hata kama zina uwezo wa kulipa in cash?
 
Ajabu nini Sasa hapo kwanza nampa hongera kwani ana mkopo mmoja tu ambao makato yake marefu ina maama hata akikaa mwaka mmoja tu akirudi mjengoni kutop up akosi pesa inayoeleweka it means Kila mwaka ana uwezo wa kufanya jambo kwa kidogo chake

Watumishi mnaoshangaa jamaa ni wanafiki tu ebu leteni salary slip zenu hapa tuone mna mikopo makato ya ajabu makato machafu
 
Hapo jama unaweza kuta kapewa kwenye around 20 hadi 24M
Hapana! Ukipiga hesabu (kama unajua hesabu lakini) utakuta jamaa alichukua cash kama 37m maana interest rate ya mikopo ya watumishi ni kama 14% per annum! Kwa hiyo kama ana akili timamu atakuwa anafanya mambo makubwa tu sasa hivi!
 
Anaweza akawa ameliuza deni la HESLB kwa NMB. Lakini pia unaweza kuwa sahihi kuwa alishamaliza deni la mkopo. Kutokana na salary slip yake, endapo kama alianza kazi na bachelor, generally, not specifically, inaonesha atakuwa na maika kama 15 hivi kazini. Muda ambao unaweza kuwa umetosha kabisa kulipia deni lake la HESLB endapo alikuwa na deni hilo.
Huyo hana miaka zaidi ya kumi kazini ila ni mwanaume salary slip siyo chafu
 
View attachment 2200989

Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake

Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Dooh kwa hali hii alafu unakuta tume inaundwa kuchunguza kwann upigaji serekalini umezidi. Huyu anaishi juu ya uwezo wake,,ili mambo yaende lazma akwibe huyu,,,trust me
 
Kimsingi kama kawaida ya JF, mtoa Post alileta hoi post kwa lengo la kuponda utumishi wa umma ila majibu ya wadau mazuri na yanamvunja moyo. Yeye alitaka tuishambulie hiyo 300k anayoipata.
Mimi nina chini ya 500K kwa mwezi kama mshahara wangu toka TGS G sikuwa na loan board na nilikopa zaidi ya 40M ambayo inanisaidia kwenye mzunguko wa zaidi ya 1.2M kwa mwezi toka kwenye Kilimo, ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, duka la Pembejeo na bodaboda za mkataba. Kumbuka nilishajenga na nipo kwangu hapo.
Benk gani inakopesha 40M kwa mtu alie na take home chini ya 500k
 
Ukiona hela yako ni ya kuunga unga unatakiwa ufanye hivi
Jenga kijumba kidogo cha kukustri nyuma kwenye kiwanja. Mungu akikujalia ukilipwa mafao ndiyo unajenga nyumba ya mbele na wajukuu wanapata vyumba vyao wakija kusalimia.

Wengine wana bahati wakiwa kwenye vibanda vya uwani mble watoto wao wanamalizia. Si watoto wote wana msaada wengine utawalea mpaka unaingia kaburini.
Mama hela ya mafao siyo ya kujengea, haki utakufa kwa stress! Kama ukifika umri wa kustaafu hujajenga andika maumivu vinginevyo unataka kufa mapema!
 
Usiogope mkopo
Fanya calcualation yako vizuri
Nilikopa 38 M mkopo wa miaka 5
Nikajenga gheto la kuanzia kwenye plot yangu
Ndani ya miezi miwili
Mshahara wangu take home ni 2.3 M
HESLB wana ramba 500K
Bank wana ramba 1M
Nabaki na kama 700K hv
Niliona kuona kuishi nyumba ya kupanga kutafanya akili iwe dormant
Pia nilisha apa kutoa na kuishi na mke wangu nyumba ya kupanga

Mishe mishe zangu kwa mwezi ni 7M - 15M
Maisha yanasonga
Mkuu, hongera sana kwa mafanikio. Tushirikishane fursa tafadhali.

1. Fursa zipi hizo zinakuingizia turn over ya 7-15 on monthly basis?
2. Ulianza lini na kwa mtaji upi?
3. Nini siri ya mafanikio hayo ingali bado umeajiriwa?

Itapendeza uki-share experience kama hautojali Mkuu. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa unyenyekevu mkubwa.
 
Ndo maana nikasema, ukipiga mahesabu ya haraka haraka, Mtu mwenye basic ya 940'000 hawezi ku-qualify 42'M kama wengine wanavyosema. Riba ya NMB nadhani ni 17percent, Maximum repayment period yao ni 8 years kama sijakosea. Hivyo uki-subject haya yote kwenye calculator lazima u-violate hiyo 1/3 rule.
Ok,

Mi nilidhani kwa miezi 96 inaweza kukubali.
 
Nilichojifunza:
1. Kama ametumia huo mkopo kujengea nyumba, anailipia Kodi ya 451K na baada ya miaka michache nyumba itakuwa yake.
2. Kama amewekeza kwenye biashara yenye faida zaidi ya 451K kwa mwezi, mapato yake hayajaathirika na baada ya miaka michache atakuwa anajilipa nusu ya mshahara wa serikali.
3. Kama amewekeza kwenye starehe mkopo unamtesa.
Huwezi kuwa na deni la milioni 42+ bank kwa mshahara wa laki 9
 
Mikopo inatesa vp kama kaenda kufanya biashara inayomlipa zaidi?

Asikudanganye mtu huwezi kutoboa bila mikopo hata matajiri wanadaiwa.

Siku ukijua how compound interest, return on investment (ROI) works utajua mikopo ni kitu kizuri tatizo ni wakopaji. Jiulize kwanini matajiri na taasisi kubwa zinakopa hata kama zina uwezo wa kulipa in cash?
Mkuu, ahsante kwa maarifa haya. Je, wewe umewahi kukopa ukiwa mwajiriwa kwa ajili ya biashara na ukafanikiwa kutimiza malengo yako? Itakuwa vizuri uki-share experience ili na siye wengine tujifunze jambo. Maana tulio wengi tupo gizani bado..
 
Kimsingi kama kawaida ya JF, mtoa Post alileta hoi post kwa lengo la kuponda utumishi wa umma ila majibu ya wadau mazuri na yanamvunja moyo. Yeye alitaka tuishambulie hiyo 300k anayoipata.
Mimi nina chini ya 500K kwa mwezi kama mshahara wangu toka TGS G sikuwa na loan board na nilikopa zaidi ya 40M ambayo inanisaidia kwenye mzunguko wa zaidi ya 1.2M kwa mwezi toka kwenye Kilimo, ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, duka la Pembejeo na bodaboda za mkataba. Kumbuka nilishajenga na nipo kwangu hapo.
Wacha uongo wewe, 500k huwezi kupata mkopo wa 40m! Huyu mwenzio ana 940k ndiye kapata 42m wewe iweje?
 
Back
Top Bottom