thetowerofbabel
JF-Expert Member
- Jul 17, 2010
- 266
- 360
Usiogope mkopoView attachment 2200989
Basic salary: 940,000
......
Michango/makato yake
Chakuhawata contribution 5000
PSSSF 47,000
PAYE 94,200
Nmb bank loan 42,870,300 (451,266)
NHIF fund employees 28,200
......
NET AMOUNT DUE.. 314,333.68 Tshs
Fanya calcualation yako vizuri
Nilikopa 38 M mkopo wa miaka 5
Nikajenga gheto la kuanzia kwenye plot yangu
Ndani ya miezi miwili
Mshahara wangu take home ni 2.3 M
HESLB wana ramba 500K
Bank wana ramba 1M
Nabaki na kama 700K hv
Niliona kuona kuishi nyumba ya kupanga kutafanya akili iwe dormant
Pia nilisha apa kutoa na kuishi na mke wangu nyumba ya kupanga
Mishe mishe zangu kwa mwezi ni 7M - 15M
Maisha yanasonga