witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]Watanzania wapumbavu sana, sasa mpo bize kujadili salary slip ya mtu wakati nyie hamkopesheki hata dukani kwa mangi kwasabab hamna kazi au ni kibarua. Mwenzenu ametimiza malengo yake ila nyie mnataka kutuaminisha amefeli... Na hapo baada ya miaka 3 anaweza kukopa tena... Maisha ni kuchagua... Nilichogundua wanao comment negatively ni watu ambao wana stress za maisha, wameStuck hawawez kwenda mbele na umri unakimbia... Guys mtakufa masikini mkiendelea kujadili maisha ya watu.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app