Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Watanzania wapumbavu sana, sasa mpo bize kujadili salary slip ya mtu wakati nyie hamkopesheki hata dukani kwa mangi kwasabab hamna kazi au ni kibarua. Mwenzenu ametimiza malengo yake ila nyie mnataka kutuaminisha amefeli... Na hapo baada ya miaka 3 anaweza kukopa tena... Maisha ni kuchagua... Nilichogundua wanao comment negatively ni watu ambao wana stress za maisha, wameStuck hawawez kwenda mbele na umri unakimbia... Guys mtakufa masikini mkiendelea kujadili maisha ya watu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kama nimeelewa vizuri, hiyo mil.42 inahusisha principal na interest. Kwa hiyo inawezekana alikopa mil.25. Halafu inawezekana anakatwa kwa mfumo wa straight balance, ambao unaumiza zaidi. Tunapokopa tuulizie na mfumo wa marejesho. Mfumo rafiki wa marejesho ni reducing balance.
Tunaomba elimu ya straight balance na reducing balance
 
Huyo hana miaka zaidi ya kumi kazini ila ni mwanaume salary slip siyo chafu
Sawa mkuu, mie sifahamu vizuri hayo madaraja yao yanavyokuwa. Mie uchunguzi wangu ulijikita kwenye muda wake wa kustaafu (mwaka 2041) kama unavyoonesha kwenye salary slip. Ambapo kwa sasa inaonesha ana umri wa miaka kam 41 hivi.

Endapo alichelewa kuingia kwenye ajira ya utumishi wa umma utakuwa sahihi na ukizingatia pia kigezo cha madaraja yanavyokuwa huko alikoajiriwa.

Ila endapo tutafuata kigezo cha mwaka wa kustaafu 2041, maana yake kwa sasa ana miaka kama 41 hivi. Na kwa makadirio, siyo lazima iwe kweli, endapo alimaliza bachelor na kuanza ajira, it means alianza kazi around 2006-2007. Hii pia ianweza kuwa kweli maana wakati huo ajira zilikuwa za uhakika hasa kwa walimu.
 
Kama nimeelewa vizuri, hiyo mil.42 inahusisha principal na interest. Kwa hiyo inawezekana alikopa mil.25. Halafu inawezekana anakatwa kwa mfumo wa straight balance, ambao unaumiza zaidi. Tunapokopa tuulizie na mfumo wa marejesho. Mfumo rafiki wa marejesho ni reducing balance.
To put things straight- NMB wanatumia Reducing balance method.
 
Mkuu, ahsante kwa maarifa haya. Je, wewe umewahi kukopa ukiwa mwajiriwa kwa ajili ya biashara na ukafanikiwa kutimiza malengo yako? Itakuwa vizuri uki-share experience ili na siye wengine tujifunze jambo. Maana tulio wengi tupo gizani bado..

Ndiyo mkuu. You read my mind maana nilikua nampango wakuanzisha uzi kushare experience yangu, nikifanya hivyo nitakutag very soon.
 
Dooh kwa hali hii alafu unakuta tume inaundwa kuchunguza kwann upigaji serekalini umezidi. Huyu anaishi juu ya uwezo wake,,ili mambo yaende lazma akwibe huyu,,,trust me
Ndiyo hivyo kazi za serikalini kukopa mkubwa, unaiba ukifukuzwa kazi unapakuanzia
Ndiyo maana ripoti ya CAG kila mwaka upigaji haukosi
 
Ndiyo mkuu. You read my mind maana nilikua nampango wakuanzisha uzi kushare experience yangu, nikifanya hivyo nitakutag very soon.
Usinisahau mkuu. Tafadhali. Mie hapa JF ni kama chuo kikuu cha maisha. Vile vyuo vya kawaida naona nimeshasoma kwa kiasi chake. Sasa ni muda wa kuendeleza maarifa kutoka REAL LIFE/STREET UNIVERSITY. Elimu hii si rahisi kuipata kwingine ila hapa JF utaipata tena bure. Ndio maana mie huwa nashinda hapa.
 
Usiogope mkopo
Fanya calcualation yako vizuri
Nilikopa 38 M mkopo wa miaka 5
Nikajenga gheto la kuanzia kwenye plot yangu
Ndani ya miezi miwili
Mshahara wangu take home ni 2.3 M
HESLB wana ramba 500K
Bank wana ramba 1M
Nabaki na kama 700K hv
Niliona kuona kuishi nyumba ya kupanga kutafanya akili iwe dormant
Pia nilisha apa kutoa na kuishi na mke wangu nyumba ya kupanga

Mishe mishe zangu kwa mwezi ni 7M - 15M
Maisha yanasonga
-Kwa makato ya 15% ya Heslb maana yake salary yako ni 3,000,000+
-
 
Karibia 95% ya watumishi wanaokopa kwa ajili ya biashara mambo huenda mrama (Ndivyo sivyo). Take it from me, dude.!
Kwa nini zisiende mrama wakati hawazingatii kanuni za pesa kwenye biashara.

Hata kama umekopa pesa ya mkopo ukitimiza misingi na kanuni za fedha kwenye kuwekeza unatoboa tu nakuambia.

Haina maana kwamba pes ni ya mkopo kwamba ukowekeza unafeli hapana,ukipstia utaratibu unatusua tu.

Waajiriwa wakikopa wanaenda kufanya biashara bila wazoefu,wanafanya biashara hawajui changamoto zake wanaenda kujaribu lazima wafeli
 
Ukisema salary slip sio chafu una maanisha nini
Naimanisha salary slip moja Ina makato
CRDB 30000
NMB 57000
TPB 12000
Faidika 13000
Bayport 11000
Umeona hapo unakuta mtu ana mikopo na makato ya ajabu ajabu ambayo hata akisema akatop up anapata laki au elfu themanini
 
Karibia 95% ya watumishi wanaokopa kwa ajili ya biashara mambo huenda mrama (Ndivyo sivyo). Take it from me, dude.!
Kwa nini zisiende mrama wakati hawazingatii kanuni za pesa kwenye biashara.

Hata kama umekopa pesa ya mkopo ukitimiza misingi na kanuni za fedha kwenye kuwekeza unatoboa tu nakuambia.

Haina maana kwamba pes ni ya mkopo kwamba ukowekeza unafeli hapana,ukipstia utaratibu unatusua tu.

Waajiriwa wakikopa wanaenda kufanya biashara bila wazoefu,wanafanya biashara hawajui changamoto zake wanaenda kujaribu lazima wafeli
 
Sawa mkuu, mie sifahamu vizuri hayo madaraja yao yanavyokuwa. Mie uchunguzi wangu ulijikita kwenye muda wake wa kustaafu (mwaka 2041) kama unavyoonesha kwenye salary slip. Ambapo kwa sasa inaonesha ana umri wa miaka kam 41 hivi.

Endapo alichelewa kuingia kwenye ajira ya utumishi wa umma utakuwa sahihi na ukizingatia pia kigezo cha madaraja yanavyokuwa huko alikoajiriwa.

Ila endapo tutafuata kigezo cha mwaka wa kustaafu 2041, maana yake kwa sasa ana miaka kama 41 hivi. Na kwa makadirio, siyo lazima iwe kweli, endapo alimaliza bachelor na kuanza ajira, it means alianza kazi around 2006-2007. Hii pia ianweza kuwa kweli maana wakati huo ajira zilikuwa za uhakika hasa kwa walimu.hilo

Sawa mkuu, mie sifahamu vizuri hayo madaraja yao yanavyokuwa. Mie uchunguzi wangu ulijikita kwenye muda wake wa kustaafu (mwaka 2041) kama unavyoonesha kwenye salary slip. Ambapo kwa sasa inaonesha ana umri wa miaka kam 41 hivi.

Endapo alichelewa kuingia kwenye ajira ya utumishi wa umma utakuwa sahihi na ukizingatia pia kigezo cha madaraja yanavyokuwa huko alikoajiriwa.

Ila endapo tutafuata kigezo cha mwaka wa kustaafu 2041, maana yake kwa sasa ana miaka kama 41 hivi. Na kwa makadirio, siyo lazima iwe kweli, endapo alimaliza bachelor na kuanza ajira, it means alianza kazi around 2006-2007. Hii pia ianweza kuwa kweli maana wakati huo ajira zilikuwa za uhakika hasa kwa walimu.
Hilo deni ni la miaka Saba so let say 2029 deni linaisha na ikumbuke deni lake anaweza kaa miaka miwili akienda bank hakosi milion tano hapo kwa hayo makato so jamaa mkopo wake mzuri sana tena sana
 
Hapana! Ukipiga hesabu (kama unajua hesabu lakini) utakuta jamaa alichukua cash kama 37m maana interest rate ya mikopo ya watumishi ni kama 14% per annum! Kwa hiyo kama ana akili timamu atakuwa anafanya mambo makubwa tu sasa hivi!
Ile hesabu ya darasani ya simple interest achana nayo bro. Hapa kwenye mabenki kuna charges na tozo kibao. Tena nyingi kama mchanga wa bahari. Nakuhakikishia maana mimi ni mkopaji mzuri wa benki zilizopo Tanzania. Na ninapofika Tawi la benki kukopa huwa namuona afisa mikopo nampiga maswali ananichambulia tozo na gharama za kuupata mkopo.
 
Back
Top Bottom