Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Salary slip ya mwajiriwa fulani serikalini. Umejifunza nini kutoka kwa huyu kamanda?

Hajui madaraja ya Utumishi wa Umma, TGS G ni zaidi ya 1.6M (Kama sikosei).
Hili jamaa sijui likoje yaani TGS G iwe pungufu hata kwa yule wa TGS D? Siyo litumishi la umma hili!
 
Kwa mshahara wake huo alikuwa na qualify kupata loan 42m kweli ?

Ni life loan ama ?
 
Exactly. Ndiyo strategy. Kila anayeomba anaambiwa sina hela mi mstaafu. Kuna video clip ya RC wa Dodoma Anthony Mtaka niliipenda sana.
Ile idea ya kununua bonds ikupate uwe na nyumba tatu, moja unaishi na mbili zinakupa laki saba kila mwezi. Ukitoa matengenezo unaweza kuwa na laki tano. Hii pesa na bado uwe unapata interest ya bonds zako BOT na una pension ya kila mwezi. Unaweza kumudu bia mbili kila jioni.
 
Hapo ndo kama ulichukua mkopo, ukajenga nyumba ikaishia kwenye renta sijui wenyewe mnaita😆😆😆, bado utakuwa umepanga na kwa makato hayo kujenga tena subiri miaka 7au mitano deni likipungua. Hapo shughuli ipo, ndo mtu anaanza kuichukia kazi
Katika 42m za NMB cash alipata 30m. NMB Mungu anawaona.
 
Ile idea ya kununua bonds ikupate uwe na nyumba tatu, moja unaishi na mbili zinakupa laki saba kila mwezi. Ukitoa matengenezo unaweza kuwa na laki tano. Hii pesa na bado uwe unapata interest ya bonds zako BOT na una pension ya kila mwezi. Unaweza kumudu bia mbili kila jioni.
Inaonyesha ni mnywaji mwenzangu!
 
Ile hesabu ya darasani ya simple interest achana nayo bro. Hapa kwenye mabenki kuna charges na tozo kibao. Tena nyingi kama mchanga wa bahari. Nakuhakikishia maana mimi ni mkopaji mzuri wa benki zilizopo Tanzania. Na ninapofika Tawi la benki kukopa huwa namuona afisa mikopo nampiga maswali ananichambulia tozo na gharama za kuupata mkopo.
Sasa hizo gharama mkuu huwa haziwekwi kwenye mkopo! Hata mimi mkopaji mzuri tu na serikalini nilishakopa kwa kutumia mshahara. Raia wanapotosha wanaposema jamaa atakuwa aliambulia 20m.
 
Mikopo inatesa vp kama kaenda kufanya biashara inayomlipa zaidi?

Asikudanganye mtu huwezi kutoboa bila mikopo hata matajiri wanadaiwa.

Siku ukijua how compound interest, return on investment (ROI) works utajua mikopo ni kitu kizuri tatizo ni wakopaji. Jiulize kwanini matajiri na taasisi kubwa zinakopa hata kama zina uwezo wa kulipa in cash?
Tunazungumzia kilichomo kwenye slip..!! hayo ya nje ya slip ambayo mtoa mada hajayasema unataka niwe mfalme njozi na niane kuyasema? Tujadili mada kama ilivyoletwa..

By the way, pamoja na hiyo ROI yako unayoijua, bado kuna watu nyumba zao au assets zao zinauzwa kisa madeni.. TUJIKITE KWENYE SLIP ILIYOTUMWA, HIZO ROI HASIJATAJWA KWENYE SLIP
 
Inawezekana huo mkopo unamzalishia zaidi ya mshahara
Asante kwa wewe kulitumia neno INAWEZEKANA... ujuwe inawezekana pia mkopo haumzalishii chochote...

SO ILI KUEPUKANA NA MANENO KAMA INAWEZEKANA, PENGINE, LABDA, etc TUJIKITE KWENYE SLIP
 
Rekebisha net uliyoiandika wewe..
Nilichojifunza
Mikopo inatesa
Itakutesa kama hutaitendea haki. Huo mkopo wa nmb kama kanunua apartment tayari mwenzio anamiliki nyumba. Wewe unae ogopa mikopo utaweka kwenye kibubu na kila mwezi unakivunja.
 
Nimeangalia hyo slip mara mbili mbili, nimeona nianzishe tena biashara yangu ya uwakala, ilikuwa inanipa 400k kwa mwezi...nikaona ndogo, sasa kumbe kuna watu wanapata 300k kwa mwezi na ni wafanyakazi...narudisha biashara yangu
Kwa mtaji wa kiasi gani?
 
Sasa hizo gharama mkuu huwa haziwekwi kwenye mkopo! Hata mimi mkopaji mzuri tu na serikalini nilishakopa kwa kutumia mshahara. Raia wanapotosha wanaposema jamaa atakuwa aliambulia 20m.
Hpo aliambulia sana sana 25M, ila na makato mengine 23m cash aliondoka nayo. Usichezee riba ya 16/17. Hiyo Ndo facts
 
Back
Top Bottom