Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Nimemuonea huruma asana Try Again hapo ulipomueleza kuachiwa mzigo wa kuinusuru timu peke yake. Hakika hapa nimejiskia huruma juu yake mana imenikumbusha kipind flan patners wangu waliponipotezea na kuniachia kimbembe cha ku run operations peke yangu wakijua fika wao ndi wadosi, sitasahau, hakika mimi kama Yanga, kwahili nasimama upande wa Mangungu. Acha ampindue tu.Nilitafakari baada ya kupewa hii habari… au ndio maana Mo alitishia kufunga viwanda vyake huenda sababu ndio hii?
Baada ya kusepa manji ule msoto si unaukumbuka? Zahera alitustahu sana 😂. Kufanya kaz kwenye mazingira yale hapana kwakwelKanjibai atuachie timu yetu, aliondoka Manji itakuwa huyu?
Rais wa heshima hataki watu wenye akili wanaoweza kuhoji maslahi ya timu, ndio maana anaweka watu wake.Kazi ilifqnyika na timu ikashinda tukatolewa robo na APR
Tatizo Rais wa Heshima kuna watu hawataki ila Kaburu alikuwa anafaa kabisa
Yaani unataka kusema habari za Bibi mdogo ataweza kuzisimulia Kiufasaha Bibi Mkubwa pasipo kuongeza chumvi? 🤗Babu hii sijaiandika kiushabiki kabisa, kumbuka chanzo changu ni mwanachama hai wa Simba.
Ujue kuna vitu humfanya tu mtu apenye moyoni hata kama kuna password kali namna gan!!! Kile kipindi cha Zahera, hatakaa asahaulike na wanayanga kamweMimi mpaka kesho namkubali sana Zahera.
Try Again ameteseka sana na timu. Hivi tunavyozungumza Mo amepiga panga posho zote kwa wachezaji ndio maana unaona timu inayumba.Nimemuonea huruma asana Try Again hapo ulipomueleza kuachiwa mzigo wa kuinusuru timu peke yake. Hakika hapa nimejiskia huruma juu yake mana imenikumbusha kipind flan patners wangu waliponipotezea na kuniachia kimbembe cha ku run operations peke yangu wakijua fika wao ndi wadosi, sitasahau, hakika mimi kama Yanga, kwahili nasimama upande wa Mangungu. Acha ampindue tu.
Nazingatia sana kanuni za uandishi Babu, habari naiandika kama ilivyo bila emotions.Yaani unataka kusema habari za Bibi mdogo ataweza kuzisimulia Kiufasaha Bibi Mkubwa pasipo kuongeza chumvi? 🤗
Ngoja niendelee kusoma Ubuyu wako, maana pamoja na Kuzeeka sisi Vijana wa Mwaka 47 hatuachi kusoma story zako za Mjini 😜
Kuna kipindi nilikuwa naumia timu ikifungwa sababu lawama alikuwa anapewa yeye, daima Zahera ana heshima yangu.Ujue kuna vitu humfanya tu mtu apenye moyoni hata kama kuna password kali namna gan!!! Kile kipindi cha Zahera, hatakaa asahaulike na wanayanga kamwe
Zahera aliibeba sana Yanga,ingawa na yeye alikua na mtu nyumaKuna kipindi nilikuwa naumia timu ikifungwa sababu lawama alikuwa anapewa yeye, daima Zahera ana heshima yangu.
NImekusoma Nifah ,hii kitu ukiitazama kisoka soka na kiushabiki inachekesha na utaishia kufurahi msoto wa simba, ila kwa uoande wa ki business management lazima umuonee huruma Try again kama haya ni ya kwel?. Na hii ni mbaya sana kwakua wewe ndio uko front intouch na players katika kutimiza majukumu ya kila siku, wao wanakuona wewe. Wao ni rahis kuamini wewe pengine unacheza na maslahi yao, pengine boss anatoa ila wewe na wenzako mnakula. Hii situation lazima tu imuweke pagumu. Nakumbuka mimi kioind hiko sasa salary zna delay muda wa kutosha, watu ofisin wanakununia wewe 😂.Try Again ameteseka sana na timu. Hivi tunavyozungumza Mo amepiga panga posho zote kwa wachezaji ndio maana unaona timu inayumba.
Usajili walifanya mbovu sababu ya kukosa sapoti ya Mo, yeye Try Again atapata wapi pesa za kufanya usajili wa maana?
Hahahahaha..ngumu kwa Yanga kwa sababu kuna siasa..ila mpira km mpira lolote linawezekanaNakuhakikishia hii derby itakuwa ngumu, fungu lililotengwa sio mchezo.
Hersi afanye kazi kwelikweli, tusijepigwa butwaa kwa kipigo.
Wananchi hawana habari 😂😂😂.Kuna kipindi nilikuwa naumia timu ikifungwa sababu lawama alikuwa anapewa yeye, daima Zahera ana heshima yangu.
Naanza kuiogopa hiyo J1.Nakuhakikishia hii derby itakuwa ngumu, fungu lililotengwa sio mchezo.
Hersi afanye kazi kwelikweli, tusijepigwa butwaa kwa kipigo.
Wapitisha mchakato ni wanachama au watu wa vijiweni? kama ni wanachama Mo is the winnerMchakato mpya ukianzishwa tu Mo hana chake pale Simba, hizo janjajanja mwisho wake ni huo mchakato.
Usha wahi fatilia threads za NifahHII MSG WAKATI ANATUNGA ABDALLAH DULLAH ANASEMA SISI YANGA TUSAMBAZE NLIKUWA NAYE. NILIMKATALIA NILIMWAMBIA MIMI NINA AKILI. AKA NI MIND. SABABU HAKUTEGEMEA.
YANGA TUJIKITE NA MAMBO YETU YA MSINGI.
Huelewi jamaa anachozungumzia, Mwigulu ni mjumbe wa Baraza la Udhamini la Yanga ambalo kisheria ndio wamiliki wa timu kwa niaba ya wanachama hivyo Mwigulu, Mama Fatma Karume, George Mkuchika na wengine hao ndio wamiliki wa YangaAna cheo kipi
Sababu wenye vyeo ni wakin engineer, alikamwe, arafati na wengineo mwigulu hayupo
Mwigulu hasimamii mali za Yanga ni uongo yule ni mwanachama tu ambaye hakatazwi kumiliki timu nyingine ni kama wewe kuwa mwanachama wa simba hukatazwi kumiliki timu nyingine
Azam ile timu ni ya bakheresa ila msimamizi wa mambo ya timu ni mtoto wake