Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Nilitafakari baada ya kupewa hii habari… au ndio maana Mo alitishia kufunga viwanda vyake huenda sababu ndio hii?
Nimemuonea huruma asana Try Again hapo ulipomueleza kuachiwa mzigo wa kuinusuru timu peke yake. Hakika hapa nimejiskia huruma juu yake mana imenikumbusha kipind flan patners wangu waliponipotezea na kuniachia kimbembe cha ku run operations peke yangu wakijua fika wao ndi wadosi, sitasahau, hakika mimi kama Yanga, kwahili nasimama upande wa Mangungu. Acha ampindue tu.
 
Kazi ilifqnyika na timu ikashinda tukatolewa robo na APR
Tatizo Rais wa Heshima kuna watu hawataki ila Kaburu alikuwa anafaa kabisa
Rais wa heshima hataki watu wenye akili wanaoweza kuhoji maslahi ya timu, ndio maana anaweka watu wake.
Lakini nyakati zake zimefikia mwisho, hii vita akichomoka nitamvulia kofia.
 
Babu hii sijaiandika kiushabiki kabisa, kumbuka chanzo changu ni mwanachama hai wa Simba.
Yaani unataka kusema habari za Bibi mdogo ataweza kuzisimulia Kiufasaha Bibi Mkubwa pasipo kuongeza chumvi? 🤗

Ngoja niendelee kusoma Ubuyu wako, maana pamoja na Kuzeeka sisi Vijana wa Mwaka 47 hatuachi kusoma story zako za Mjini 😜
 
Nimemuonea huruma asana Try Again hapo ulipomueleza kuachiwa mzigo wa kuinusuru timu peke yake. Hakika hapa nimejiskia huruma juu yake mana imenikumbusha kipind flan patners wangu waliponipotezea na kuniachia kimbembe cha ku run operations peke yangu wakijua fika wao ndi wadosi, sitasahau, hakika mimi kama Yanga, kwahili nasimama upande wa Mangungu. Acha ampindue tu.
Try Again ameteseka sana na timu. Hivi tunavyozungumza Mo amepiga panga posho zote kwa wachezaji ndio maana unaona timu inayumba.
Usajili walifanya mbovu sababu ya kukosa sapoti ya Mo, yeye Try Again atapata wapi pesa za kufanya usajili wa maana?
 
Yaani unataka kusema habari za Bibi mdogo ataweza kuzisimulia Kiufasaha Bibi Mkubwa pasipo kuongeza chumvi? 🤗

Ngoja niendelee kusoma Ubuyu wako, maana pamoja na Kuzeeka sisi Vijana wa Mwaka 47 hatuachi kusoma story zako za Mjini 😜
Nazingatia sana kanuni za uandishi Babu, habari naiandika kama ilivyo bila emotions.

Ubuyu kwa sasa nawapumzisha kidogo, nadeal na taasisi kwanza. Siku nikirudi kwenye ubuyu nitarudi na habari ya moto, kwa sasa soma ubuyu wa zamani Babu.
 
Try Again ameteseka sana na timu. Hivi tunavyozungumza Mo amepiga panga posho zote kwa wachezaji ndio maana unaona timu inayumba.
Usajili walifanya mbovu sababu ya kukosa sapoti ya Mo, yeye Try Again atapata wapi pesa za kufanya usajili wa maana?
NImekusoma Nifah ,hii kitu ukiitazama kisoka soka na kiushabiki inachekesha na utaishia kufurahi msoto wa simba, ila kwa uoande wa ki business management lazima umuonee huruma Try again kama haya ni ya kwel?. Na hii ni mbaya sana kwakua wewe ndio uko front intouch na players katika kutimiza majukumu ya kila siku, wao wanakuona wewe. Wao ni rahis kuamini wewe pengine unacheza na maslahi yao, pengine boss anatoa ila wewe na wenzako mnakula. Hii situation lazima tu imuweke pagumu. Nakumbuka mimi kioind hiko sasa salary zna delay muda wa kutosha, watu ofisin wanakununia wewe 😂.
Ikafika kipind nikaona no way hapa lazima i have to withdraw some of them, unawaondoaje kazin na wana madai yao??? Na unawaachaje ofisin wakat madai ndio yatazid kusoma?.

Huyu Try again kama anaweza , wala asisite, ampige pindu tu. Ila azichange karata zake vizuri, ugomvi na tajiri unahitaji uwe umejipanga 😂😂
 
Nakuhakikishia hii derby itakuwa ngumu, fungu lililotengwa sio mchezo.
Hersi afanye kazi kwelikweli, tusijepigwa butwaa kwa kipigo.
Hahahahaha..ngumu kwa Yanga kwa sababu kuna siasa..ila mpira km mpira lolote linawezekana
 
Kuna kipindi nilikuwa naumia timu ikifungwa sababu lawama alikuwa anapewa yeye, daima Zahera ana heshima yangu.
Wananchi hawana habari 😂😂😂.
Wao watakuambia hata kama tunakipind kigumu sasa ndio mfungwe?
 
Ana cheo kipi
Sababu wenye vyeo ni wakin engineer, alikamwe, arafati na wengineo mwigulu hayupo

Mwigulu hasimamii mali za Yanga ni uongo yule ni mwanachama tu ambaye hakatazwi kumiliki timu nyingine ni kama wewe kuwa mwanachama wa simba hukatazwi kumiliki timu nyingine

Azam ile timu ni ya bakheresa ila msimamizi wa mambo ya timu ni mtoto wake
Huelewi jamaa anachozungumzia, Mwigulu ni mjumbe wa Baraza la Udhamini la Yanga ambalo kisheria ndio wamiliki wa timu kwa niaba ya wanachama hivyo Mwigulu, Mama Fatma Karume, George Mkuchika na wengine hao ndio wamiliki wa Yanga
 
Habari zako ni za kuokoteza! Uyo bahkressa kwa Sheria za FIFA hana uwezekano wa kuichukua Simba kwa namna yeyote labda kwanza aivunje Azam fc na ni kitu kisichowezekana!
Pili serikali haikusema mchakato uanze upya bali ilisema Simba ifanye mabadiliko ya katiba ili iweze kukidhi vigezo vya kufanya mabadiliko ya kimfumo! Mabadiliko ambayo Simba walifanya yalipitishwa na mkutano mkuu wa wanachama uliofanyika miezi minne iliyopita.
Suala la MO kutotoa pesa ni uongo! MO anatoa pesa kila mwezi millioni 200 TSH. Kulingana na makubaliano ya uwekezaji!
Try again Abdala Muhene na swaiba wake Mangungu wana kashfa ya kushirikiana na baadhi ya wachezaji kuhujumu timu mechi ya yanga ile Simba aliyofungwa goli tano! Taarifa ziko zilijadiliwa kwenye board na ushahidi ukatolewa!
Pia Muhene na Mangungu wana kashfa ya kupangisha frem zilizopo jengo la club ya Simba bila utaratibu ambapo kiasi cha millioni 500 TSH. Hazionekani. Ndio zilioleta ugomvi yeye na Barbra!
MO sio msimamizi wa timu wala operation, za kila siku za timu hivyo matokeo mabovu yeyote ni kazi ya benchi la ufundi la timu,wachezaji na secretary ya timu chini ya CEO kajura pamoja na bodi chini ya Abdala try again.
 
Back
Top Bottom