Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Nimemuonea huruma asana Try Again hapo ulipomueleza kuachiwa mzigo wa kuinusuru timu peke yake. Hakika hapa nimejiskia huruma juu yake mana imenikumbusha kipind flan patners wangu waliponipotezea na kuniachia kimbembe cha ku run operations peke yangu wakijua fika wao ndi wadosi, sitasahau, hakika mimi kama Yanga, kwahili nasimama upande wa Mangungu. Acha ampindue tu.Nilitafakari baada ya kupewa hii habari… au ndio maana Mo alitishia kufunga viwanda vyake huenda sababu ndio hii?