Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Naomba unitumie hii katiba mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii umeitoa wapi? leta katiba hapa tusome woteHuelewi jamaa anachozungumzia, Mwigulu ni mjumbe wa Baraza la Udhamini la Yanga ambalo kisheria ndio wamiliki wa timu kwa niaba ya wanachama hivyo Mwigulu, Mama Fatma Karume, George Mkuchika na wengine hao ndio wamiliki wa Yanga
2. Unless otherwise akubali kuidamp timu moja wapoMakolo washapoteana Hadi wajipate miaka kumi tayari,Ila Kuna mahala umetupiga,
1:Tajiri anaishi Uturuki
2:Familia Moja/mtu, au kampuni moja haiwezi Kumiliki Timu zaidi ya moja Ligi moja
Mie ninayo katiba ya Simba, nimeiona pia ya Yanga na taasisi mbalimbali ambapo wadhamini ndio wamiliki wa taasisi kwa niaba ya wanachama waoHii umeitoa wapi? leta katiba hapa tusome wote
PoaNaomba unitumie hii katiba mkuu
Hiyo hapoNaomba unitumie hii katiba mkuu
Rejea uchaguzi wa 2015,ndiyo utajua kati ya mamlaka na pesa kipi kina nguvuNi Mo na gavoo, ngoja tuone pesa na mamlaka kipi kina nguvu
Azama sc ni ya bakhressa au wanae!?2. Unless otherwise akubali kuidamp timu moja wapo
Dogo si tupo busy sana si kama wewe unayeshinda JF. Anyway wanawake mnajuana.Usha wahi fatilia threads za Nifah
Usinge sema haya maneno
Sio katiba ya Simba tu hata serikali iliweka Sheria wawekezaji wanatakiwa wasipungue 3Wanatakiwa wawekezaji watatu katika asilimia 49 na sio mmoja kama ingekua ni mmoja mchakato ungeshaisha
Kuna mambo mengi sana hujui yaani wewe bendera fuata upepo nimeshangaa sana na hili hulijui
Hata akija bakharesa katiba ya simba inasema wanatakiwa wawe wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo bado mchakato utakua mgumu
Wasiopungua watatu, wanachama wa Simba kwa kudanganywa wakampitisha mmoja ndio maana anawssumbia.Wanatakiwa wawekezaji watatu katika asilimia 49 na sio mmoja kama ingekua ni mmoja mchakato ungeshaisha
Kuna mambo mengi sana hujui yaani wewe bendera fuata upepo nimeshangaa sana na hili hulijui
Hata akija bakharesa katiba ya simba inasema wanatakiwa wawe wawekezaji watatu na sio mmoja kwa hiyo bado mchakato utakua mgumu
Hii ya wawekezaji watatu kwenye timu utafelisha sana hizi timu na migogoro haitaishaWasiopungua watatu, wanachama wa Simba kwa kudanganywa wakampitisha mmoja ndio maana anawssumbia.
Kaburu sio tu anajua fitina pia ana jicho la kusajili alimleya Okwi na miaka 27. Kasim Dewji ni tapeli alidanganya Simba kiwejenga msingi wa ghorofa 7 kumbe ni tatu pia alidanganya Ramadhani Was so anaenda Ubelgiji kumbe anamwuza yanga pia ndiye aliyeuza sehemu ya uwanja wa Simba Msimbazi.Hahahahaha yule ni master..kuna kipindi tulienda kigali kucheza Kagame Cup..Hans akaja ktk maongezi akasema we Dogo huku kigali ni kwenu sasa kuna kazi nataka uifanye kesho tushinde...yule jamaa ni master alikuwa
Nafasi ya Hans mtu anayeiweza pale Simba ni Nyange Kaburu au Kassim Dewji
Kabisa bora Barbara mshkaji wangu namjua akili yake.Kwahiyo ni bora abaki Mo ila waje akina Barbara, Rweyemamu na Nkwabi?
Hapana mwekezaji akiwa zaidi ya mmoja ni sahihi ona mo anavyowasumbua Simba, wakipata mkataba yeye hataki an kwa sababu unapingana na biashara zake Ila yeye anatumia Simba Kutangaza biashara zake huku akiwalipa kiduchu.Hii ya wawekezaji watatu kwenye timu utafelisha sana hizi timu na migogoro haitaisha
Timu ipewe kwa mwekezaji mmoja hii ya watatu
Niseme tu ukweli, wewe una akili. Akili yako inafanya kazi, hongera.Hapana mwekezaji akiwa zaidi ya mmoja ni sahihi ona mo anavyowasumbua Simba, wakipata mkataba yeye hataki an kwa sababu unapingana na biashara zake Ila yeye anatumia Simba Kutangaza biashara zake huku akiwalipa kiduchu.
Hahahahaha KD mjanja mjanja sana hata Kaseja alimuuza yeye kwa Yanga...ni kweli Kaburu ana jicho la mpira na kujua mchezaji mzuri na pia anajua kulea wachezajiKaburu sio tu anajua fitina pia ana jicho la kusajili alimleya Okwi na miaka 27. Kasim Dewji ni tapeli alidanganya Simba kiwejenga msingi wa ghorofa 7 kumbe ni tatu pia alidanganya Ramadhani Was so anaenda Ubelgiji kumbe anamwuza yanga pia ndiye aliyeuza sehemu ya uwanja wa Simba Msimbazi.
Duuuu nazid kuamini maneno ya Manara kuhusu wenye utimamu pale jangwani. Ko hujui kuwa Mwigulu ni kiongozi Yanga pale?Ana cheo kipi
Sababu wenye vyeo ni wakin engineer, alikamwe, arafati na wengineo mwigulu hayupo
Mwigulu hasimamii mali za Yanga ni uongo yule ni mwanachama tu ambaye hakatazwi kumiliki timu nyingine ni kama wewe kuwa mwanachama wa simba hukatazwi kumiliki timu nyingine
Azam ile timu ni ya bakheresa ila msimamizi wa mambo ya timu ni mtoto wake
Mwigulu nchemba sio mmiliki wa yangaDuuuu nazid kuamini maneno ya Manara kuhusu wenye utimamu pale jangwani. Ko hujui kuwa Mwigulu ni kiongozi Yanga pale?
Mbona gsm yupo mmoja na yanga inaingia mikataba na makampuni mengineHapana mwekezaji akiwa zaidi ya mmoja ni sahihi ona mo anavyowasumbua Simba, wakipata mkataba yeye hataki an kwa sababu unapingana na biashara zake Ila yeye anatumia Simba Kutangaza biashara zake huku akiwalipa kiduchu.