Tetesi: Salim Abdallah ‘Try Again’ katika jaribio la kumng’oa Mo Dewj Simba!

Huelewi jamaa anachozungumzia, Mwigulu ni mjumbe wa Baraza la Udhamini la Yanga ambalo kisheria ndio wamiliki wa timu kwa niaba ya wanachama hivyo Mwigulu, Mama Fatma Karume, George Mkuchika na wengine hao ndio wamiliki wa Yanga
Hii umeitoa wapi? leta katiba hapa tusome wote
 
Makolo washapoteana Hadi wajipate miaka kumi tayari,Ila Kuna mahala umetupiga,
1:Tajiri anaishi Uturuki
2:Familia Moja/mtu, au kampuni moja haiwezi Kumiliki Timu zaidi ya moja Ligi moja
2. Unless otherwise akubali kuidamp timu moja wapo
 
Sio katiba ya Simba tu hata serikali iliweka Sheria wawekezaji wanatakiwa wasipungue 3
 
Wasiopungua watatu, wanachama wa Simba kwa kudanganywa wakampitisha mmoja ndio maana anawssumbia.
 
Kaburu sio tu anajua fitina pia ana jicho la kusajili alimleya Okwi na miaka 27. Kasim Dewji ni tapeli alidanganya Simba kiwejenga msingi wa ghorofa 7 kumbe ni tatu pia alidanganya Ramadhani Was so anaenda Ubelgiji kumbe anamwuza yanga pia ndiye aliyeuza sehemu ya uwanja wa Simba Msimbazi.
 
Hii ya wawekezaji watatu kwenye timu utafelisha sana hizi timu na migogoro haitaisha
Timu ipewe kwa mwekezaji mmoja hii ya watatu
Hapana mwekezaji akiwa zaidi ya mmoja ni sahihi ona mo anavyowasumbua Simba, wakipata mkataba yeye hataki an kwa sababu unapingana na biashara zake Ila yeye anatumia Simba Kutangaza biashara zake huku akiwalipa kiduchu.
 
Niseme tu ukweli, wewe una akili. Akili yako inafanya kazi, hongera.
 
Hahahahaha KD mjanja mjanja sana hata Kaseja alimuuza yeye kwa Yanga...ni kweli Kaburu ana jicho la mpira na kujua mchezaji mzuri na pia anajua kulea wachezaji
 
Duuuu nazid kuamini maneno ya Manara kuhusu wenye utimamu pale jangwani. Ko hujui kuwa Mwigulu ni kiongozi Yanga pale?
 
Muhindi na mchina wote wananyota ya shida sana..mtu mwingine hawezi kufanikiwa.Bora mzungu,mwafrika na muarabu...muhindi na mchina wakatebngeneze barabara tu
 
Hapana mwekezaji akiwa zaidi ya mmoja ni sahihi ona mo anavyowasumbua Simba, wakipata mkataba yeye hataki an kwa sababu unapingana na biashara zake Ila yeye anatumia Simba Kutangaza biashara zake huku akiwalipa kiduchu.
Mbona gsm yupo mmoja na yanga inaingia mikataba na makampuni mengine
Mbona ulaya timu zinamilikiwa na mtu mmoja na zinaingia mikataba na makampuni mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…