Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Nafurahi kusikia hivyo, kumbe Wazee hatukupoteza fedha zetu kukusomesha London UniversityNazingatia sana kanuni za uandishi Babu, habari naiandika kama ilivyo bila emotions.
Ubuyu kwa sasa nawapumzisha kidogo, nadeal na taasisi kwanza. Siku nikirudi kwenye ubuyu nitarudi na habari ya moto, kwa sasa soma ubuyu wa zamani Babu.
Ndiyo maana tumemwambia Mkwe bila kuleta Ofa nono kwaajili ya Posa yako, hatukuachii kirahisi 😜
We real appreciate 🙏