Salim Hassan Turky: CHADEMA walilipia gharama za Ndege iliyomsafirisha Lissu

Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?


Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Haishangazi ripoti zinasema katika kipindi cha mwaka mmoja tu kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wa akili kutoka laki sita hadi laki saba. Kwani kukopa maana yake huna hela? Huoni kuwa jambo hilo lilikuwa linahitaji dharura?
 
Acha kudanganya watu, Kama Hamna Hamna tu lakn ni aibu kwa chama kubwa Kama chadema
 
Amelidanganya bunge mwongozo uombwe spika akisema uwongo aadhibiwe na yeye ni mbunge
 
Haishangazi ripoti zinasema katika kipindi cha mwaka mmoja tu kumekuwa na ongezeko la wagonjwa wa akili kutoka laki sita hadi laki saba. Kwani kukopa maana yake huna hela? Huoni kuwa jambo hilo lilikuwa linahitaji dharura?
Pole kwa baba yako aliyeugua Ugonjwa wa Akili Mda mrefu hakumwaga Bao nje Akakuzaa wewe Mtumwa wa Mbowe.
 
Acha kudanganya watu, Kama Hamna Hamna tu lakn ni aibu kwa chama kubwa Kama chadema
Ukiwa mbumbumbu na hujui procedures za matumizi ya fedha za taasisi kubwa kama Chadema bora unyamaze kuliko kujiaibisha jukwaani kwa watu kugundua wewe ni zero brain.
Nyaraka hiyo inaonyesha imekuwa prepared 11/9 na approved ili ilipwe the same day. Unaelewa nini hapo mburula?
Huwezi kuelewa unadhani fedha za chama ni kama za biashara ya dagaa
 
Waonyeshe bank statement yao kwanza na mengineyo.. hatutaki porojo tunamwamini Spika kwa sasa.
Sio kwa kumtetea huku huenda ndiye anayekuweka mjini!
Point hapa ni nini hasa? Wamekataa kumsafirisha na kulipia matibabu yake reference akiwa ni yeye kutibiwa nje kwa miezi kadhaa sio? Sasa mdomo wa nini tena kama yeye alipewa upendeleo? Anyamaze na aache mipasho kwani interpretation ya wengine inamfanya aonekane tofauti! Hatakiwi kuwa na upande pale yule anayemwongoza anapokumbwa na masahibu tena ya kutengenezwa! Nawe unashangilia kizuzu!
 
Hakika Mbunge Salim Hassan Turky Mungu amlipe Kwa HURUMA na Upendo Mkubwa aliouonyesha KUOKOA MAISHA YA MTANZANIA wenzake, mbunge wenzake bila kujali itikadi ya kisiasa.Mbunge huyo ni mfano wa kuigwa. Pia shukrani na pongezi za dhati ziende Kwa Wabunge wote na Mh.Spika wao.Mungu ibariki Tanzania.
 
Laughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?


Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Wameona aibu na kuhisi kudhalilishwa sana. Hawana ujanja is hakuwa noted somewhere hata kama wamelipa. Sasa mikwara ya ndugu na Chama ilitoka wapi wakati jeuri hawana?
 
Na huyo muongo aliyeliongopea bunge kwamba "gharama za kumsafirisha Mh. Lissu kwenda Nairobi zimelipwa na mbunge wa CCM", naye unampa shukrani?
 
Tunawajua Ma ccm kazi yenu huwa kupongeza tuu kina haja gani ya Spika kutangaza hivyo???yaani wema wa mbunge mmoja imekua kazi ya ofisi ya bunge na kujisifu
 
Mbona sioni tofauti kati ya SK na mbunge. Aliita Ndege hili ije ichukue TL. Na CHADEMA waje kulipa. Na walipunguza bei. Toka $15000 adi $9200..
 
Mzee Salimu Mungu atakulipa Kwa upend o wako
Lakini japo simuombei mabaya lissu lakin lissu ana mdomo mmbaya sana huwa anawaita MACCM lakini hao MACCM kwa utu wao ndo wamempigania na kumkodishia ndege
 
Nduguye alidanganya bunge Mara 2 ndani ya wiki 1!
 
Huyu mbunge hana adabu yan anapingana na spika.....anatakiwa afungiwe hata vikao sita
 
Anasema wamelipia leo mbona zile documents za kukodi ndege zinaonyesha tarehe 8 na jina lililoandikwa ni Mh Mbowe,na siyo huyo mbunge?
 
Kwa nini tukubali kuwa CHADEMA wamelipa leo mchana??!
 
Mh, polepole anadanya umma kwa barua yake ya kuonyesha Tundu Lisu alisafirishwa kwa gharama za mbunge Salim Hassani wa CCM.
 

Eeeeeh
Umeniandikia upupwu gani na kunihukumu.. ha ha haaaa
Mkiandika nyie ni wadau.. nikiandika mimi sio mdau bali nawajua ninaowaandika.. rudi ukasome tena.. jipige na vibao vya usoni kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…