cash money kwa muda ule chap chap si rahisi kupatikana, huyo alichukua dhamana yeye
Wamelipa leo tarehe 14 Septemba saa sita? Michango ilianza lini?
Halafu anagalie invoice aliyoposti Msigwa ambayo inaonesha mlipaji atakuwa Mbowe (sio CHADEMA). Juu kulia amount ni $9,000. lakini ukiangalia chini amount ni Tshs 19,575.
vipi ndugai atafikishwa kwenye kamati ya maadili lini kwa kusema uwongo bungeni we gamba?Ha! Ha! Mbowe kashawapiga CHADEMA mkwanja, nimeshangaa Mbowe kuwa karibu kumuuguza Lissu kumbe kuna faida anapata. Risiti alizotoa Msigwa zimeandikwa Mbowe badala ya CHADEMA.
Anyway. Tusibishane sana maana tunaweza bishana wakati hatujui mwanzo na mwisho wa maneno ya Spika huenda ametaja neno la kuzamini.Aliyelipa ni nani? Huyo spika wako alisema nani kalipa? Pesa imelipwa na nani?
Anaetakiwa kuwa na uelewa ni nani kati yangu na wewe? Kwanini spika wako asingesema chadema wamedhaminiwa na akasema hela imelipwa na mbunge wa ccm?
Walikua nazo but not cash!!!uwe unajibidiisha kidogo basi kuelewaLaughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
Ndugu huku ndio kushughulikiana kwani si ndio kazi aliyopewa hana jingine zaidi ya maagizo.Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan Turky (CCM), amesema CHADEMA ndiyo waliolipa gharama za ndege iliyomsafirisha Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, kwenda Nairobi baada ya yeye kuwadhamini kwa kuwa hawakuwa na fedha taslimu za kulipia wakati huo. CHADEMA wamelipa fedha hizo leo saa sita mchana.
View attachment 588145
Fedha ya chama haitolewi kama ipo kwenye line ya M-pesaLaughable!!! Kumbe walikopa Chama hakina hata Sh.18million?
Unakuta wakuda wanaendeshwa na Fikra za akina Msigwa.
ndio hapo kaka, ndio maana yule jamaa aliyetuita wapumbavu na malofa hakukoseaNashindwa kuelewa kwanini watu wanashindwa kutofautisha kukopeshwa na kudhaminiwa. Huyu mbunge aliwaruhusu shirika la ndege watoe huduma bila kulipwa pesa na CHADEMA kwa wakati ule, na endapo ingetokea chama kisilipe kwa sababu moja ama nyingine, yeye Mheshimiwa mbunge angelipa.
Poa,Sitaumia usiposoma
we ndo msemaji wa ndugai?Anyway. Tusibishane sana maana tunaweza bishana wakati hatujui mwanzo na mwisho wa maneno ya Spika huenda ametaja neno la kuzamini.
By the way.. ni hela zilizo changwa?
mkuu ukumsikiliza spika vizuri alisema mhesimiwa turky alilipia ndege kwa makubaliano ya kurudishiwa baadae. Video ipo youtube mkuu msikilize vizuri, japo mimi sipendi chama tawala spika leo kaongea kwa busara sana amekosea alipomalizia kwa kusema arusha deserve better.Spika kavuliwa nguo.
mkuu ukumsikiliza spika vizuri alisema mhesimiwa turky alilipia ndege kwa makubaliano ya kurudishiwa baadae. Video ipo youtube mkuu msikilize vizuri, japo mimi sipendi chama tawala spika leo kaongea kwa busara sana amekosea alipomalizia kwa kusema arusha deserve better.
we ndo msemaji wa ndugai?
Sasa mzee lowasa alikosa kweli 19m kwa ajili ya lisuYaone yanavyohamisha magoli, mlisema mbunge wa ccm kalipa sasa hivi mmeumbuka mnasema eti wanakopa mbona serikali yako inadaiwa mpaka inatekwa ndege zake hushangai,, shame on you poor uvccm
mkuu ni kwani kusema mimi ni mpinzani ni kosa.Mbona unajitetea? Kuna mtu kasema unapenda chama tawala au cha upinzani?
Punguza ushabiki kuna ndugu yupo ICUHa! Ha! Mbowe kashawapiga CHADEMA mkwanja, nimeshangaa Mbowe kuwa karibu kumuuguza Lissu kumbe kuna faida anapata. Risiti alizotoa Msigwa zimeandikwa Mbowe badala ya CHADEMA.
mkuu ni kwani kusema mimi ni mpinzani ni kosa.