Kwani kazi ya mbunge ni ya ofisa masoko wa jimbo?Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?😂😂Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
NdioKwani kazi ya mbunge ni ya ofisa masoko wa jimbo?
Wacha Wajumbe wale vidola vilivyokuja na mgombea.Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Unafikiri alipokuwa anaishi Uingereza alikuwa anakula nyama aina gani, huyu jamaa ni mwenzetu, ni Muislam jina tu.....anafakamia "mfalme we mezani" kama hana akili ila kwa siri sana kwani hataki watu wajuwe hilo ila sasa wanajuwa japo atakataa akiulizwa.Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Hapo hoja ni kwamba mbunge yafaa awe mtu mzaliwa (sio lazima mkabila) wa jimbo husika.Kwani kazi ya mbunge ni ya ofisa masoko wa jimbo?
🤣🤣🤣🤣Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Huyo Mzanzibar hawezi kutoboa mbele ya wenyeji wa Huko.Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Wanu vipi?Ndiye atakae tangazwa mshindi.
Wanu hata asipopiga kampeni akakaa kizimkazi atashinda kwa 99.99%Wanu vipi?
Kama no.1 hakulifuta kwa nn kikeke?Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Nilisikia ni wa makunduchi, kule kwa bi wanu mkengerwaKwani Kikeke sio mchaga wa kule