GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii nchi ni ngumu sana, kwa hiyo kazi ya mbunge ni kutafutia wananchi masoko, maafisa biashara wa kila wilaya wanafanya kazi gani. Hii yote ni UMAKUNDILISM. Kwa nini watu hamuongozwi na katiba juu ya sifa na shughuli za mbunge. Suala la masoko ni kazi ya serikali wajameni, sina tim yoyote lkn kikeke nakuombea ushinde ili mishono ya watu iendelee kuvuja maji
 
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.

Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.

Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia soko la kitimoto.

Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?

Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Hicho kigezo pekee kinamtoa nje.
 
Wakibosho acheni ulevi ona sasa mnaletewa mbunge toka Zanzibar na kikuu
Yaani hakuna mkibosho anaweza kubwa mbunge?
 
Wewe Kama ni mfugaji unamsubiri kikeke akutafutie soko lako , ikiwa yeye mwenyewe mambo yamekuwa magumu kaamua kuja kutafuta pesa
 
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?

Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Nawaza tu katokea zanzibar kuja moshi vijijini sera zake ni zipi watu wamuelewe😀😀😀😀
 
"Huyu ni maelekezo kutoka juu" kwani uchagani hajulikani kabisa na hawezi kushinda kihalali zaidi ya ile michezo michafu ya CCM na maelekezo toka juu ya kuchakachua!
 
Back
Top Bottom