GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tunamkaribisha sana kwenye mabanda yetu hatuachi kitu
20250720_093550.jpg
 
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.

Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.

Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia zako wa kitimoto.

Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?

Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Kikeke anafakamia nguruwe si kawaida
 
Lengo la kuwa mbunge ni kuhakikisha anaua huo uchafu wote na siyo kutafuta soko
 
Unafikiri alipokuwa anaishi Uingereza alikuwa anakula nyama aina gani, huyu jamaa ni mwenzetu, ni Muislam jina tu.....anafakamia "mfalme we mezani" kama hana akili ila kwa siri sana kwani hataki watu wajuwe hilo ila sasa wanajuwa japo atakataa akiulizwa.
Wewe ukila inatosha na hakuna dhambi, kwanini ulazimishe wasiofakamia hayo madude kwamba wanafakamia kisirisiri?
 
Wewe ukila inatosha na hakuna dhambi, kwanini ulazimishe wasiofakamia hayo madude kwamba wanafakamia kisirisiri?
Unataka kuniambia kuwa hujuwi Waislam wanakula nguruwe kisirisiri au unataka tu ubishi wa kijinga? Hakuna madhara yeyote kula nguruwe sema tu dini inawafanya watu kuwa wajinga kwa imani potofu. Mkuu jaribu kula nguruwe uone kama utakufa, wacha ujinga.
 
Unafikiri alipokuwa anaishi Uingereza alikuwa anakula nyama aina gani, huyu jamaa ni mwenzetu, ni Muislam jina tu.....anafakamia "mfalme we mezani" kama hana akili ila kwa siri sana kwani hataki watu wajuwe hilo ila sasa wanajuwa japo atakataa akiulizwa.
Angegombea Mbeya tu ambako mshua yuko katikati ya Meta Sec na Magereza
 
Back
Top Bottom