GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

GE2025 Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Huyo jamaa ni strategist. Kajua kujinadi. Jina lake limesikika vyema sasa, hivyo hata lengo lake sio ubunge bali uteuzi. Usishangae ukasikia jamaa ni mkuu wa wilaya ya Rombo, au Katibu Tawala Vunjo
 
Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.

Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.

Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia soko la kitimoto.

Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?

Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
MOD NIPIGE BAN ~ nimeingia Kwenye Mambo ya Usalama wa Taifa

 
Kitabu kitukufu cha Quran kinaruhusu Waislamu kula kitimoto kwa dharula,Q2:173!
Kwa hiyo haina shida akichaguliwa kule kwa Wachaga!
 
Unaweza kukuta anakula pork vizuri huyo Kikeke kutokea akiwa London.
 
Back
Top Bottom