MwajabuOmary
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,059
- 2,982
Hakuweza ndio maana wanamoshi tunamtaka KikekeHuyo Mbunge aliyemaliza muda wake kwanini hakuwatafutia hayo masoko?
🤣🤣Kwani kazi ya mbunge ni ya ofisa masoko wa jimbo?
Safi sana, lakini ni mpaka apite kwenye chujio kwanza!Hakuweza ndio maana wanamoshi tunamtaka Kikeke
Atapita, kura yangu kama mjumbe anayo tayari.Safi sana, lakini ni mpaka apite kwenye chujio kwanza!
Hatoboi kwa Moris makoiNdiye atakae tangazwa mshindi.
bhaaasi kwisha kabisaaKwani kazi ya mbunge ni ya ofisa masoko wa jimbo?
Hicho kigezo pekee kinamtoa nje.Salim Kikeke jina lake limefanikiwa kurudi kama mgombea ubunge wa Moshi Vijijini. Ni haki yake kikatiba ingawa hakuna Mtanyika anaweza kugombea ubunge Mjini Magharibi.
Wakazi wa Moshi Vijijini ni wafugaji wakubwa wa nguruwe. Ufugaji huu ndiyo unawapatia Riki, kuwezesha kulipa kodi na kusomesha watoto wao.
Moja ya changamoto zinazowakabili ni malisho, na soko la wanyama hawa. Kuanzia soko la kitimoto.
Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Hakuna mchaga mwenye ile sura. ILE SURA NI YA WATU WA PWANI waswahili swahili.Kwani Kikeke sio mchaga wa kule
Safi kabisa!Atapita, kura yangu kama mjumbe anayo tayari.
Nawaza tu katokea zanzibar kuja moshi vijijini sera zake ni zipi watu wamuelewe😀😀😀😀Salim utaweza kutafuta soko la kitimoto na kupigania malisho? Moshi Vijijini hakuna vijana wanaojua hizi changamoto na wana sifa za kuwa wabunge?
Ninamtakia Salim Kikeke kampeni njema.
Nakazia tu.Kwani kazi ya mbunge ni ya ofisa masoko wa jimbo?
Mbowe akifuga masharubu wanafanana. Pia anatembea kama Godbless LemaHakuna mchaga mwenye ile sura. ILE SURA NI YA WATU WA PWANI waswahili swahili.