Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
DuhMtiania wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo kwa kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Kama huo mpango unawaongezea kipato na hatimaye kuboresha maisha ya wapiga kura wake, kwa nini mbunge asisaidie hayo maboresho?Salim kikeke?kweli siasa za ccm ni tamu;,anaidhinisha haramu kwa ajili ya ubunge..
Mabadiliko yajayo ya Katiba yawape wapigakura uwezo wa kumuondoa kiongozi wa kuchaguliwa hata kati kati ya term yake, kama akishindwa kutekeleza yale aliyoahidi wakati wa campaign!Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?
MKUU WA MEZA.Kwaiyo Salim kikeke anakiri kwamba nguruwe sio haramu
Kwani anaomba kuchaguliwa kuwa imam?Siasa ni hatari sana, yani sheikh kabisa anasema ataongeza soko la ngurue😳 astakafiru 💩💩💩