GE2025 Salim Kikeke: Nitaongeza thamani ya Soko la Nguruwe Jimboni

GE2025 Salim Kikeke: Nitaongeza thamani ya Soko la Nguruwe Jimboni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.


View attachment 3428091
Kikeke hawezi kamwe habari za kuboresha kitimoto na pombe hapa Moshi kwani hayajui hayo tena yanapingana na imani yake. Tutafute Mkibosho.
 
Eti Mkuu wa meza 😂
Kwanini watu wakiingia siasa wanakuwa waongo, waizi, wengine wauwaji na wapigaji

Dini huwa haina nafasi kwa mwanasiasa hata awe mchungaji
Au tuseme Moshi wana nguruwe tu
 
Back
Top Bottom