Papasa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,996
- 6,731
Kwani akiwa mbunge imani yake inaondokaKwani anaomba kuchaguliwa kuwa imam?
Kwani akiwa mbunge imani yake inaondokaKwani anaomba kuchaguliwa kuwa imam?
astaghfirullahMtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?
Huko mtaani JUA ni Kali Sana, hivyo inabidi kupambana kwa namna yeyote ile.😆😆😆😃 hapana chezea siasa
Aaahaaa😆😆😆😃 hapana chezea siasa
Wachaga siku hizi mmekua wajinga wakudanganywa kirahisi?.Mtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?
Ustaadh Salim ni noma. Huyu ni mwanachama wa ngriiiiMtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
Soma > Salim Kikeke mbunge mtarajiwa wa Moshi Vijijini utaweza kutafuta soko la nguruwe?
Iko hivi, haramu kwako, kwa mwingine siyo haramuKwaiyo Salim kikeke anakiri kwamba nguruwe sio haramu
Kambale huwa ana shida gani? Kuna whitch doctor mmoja nilikua namsikiliza anazuia kula ambaleHakuna cha ajabu hapo. Mimi ni mfugaji, ninafuga kambale. Ila sili hata kwa mtutu. Ninauza tu.
Kuna madaktari wa mifugo ambao ni waislam, wanaweza kumtibu nguruwe lakini hawali nyama yake. Ni kama daktari wa binadamu anavyoweza kumpasua binadamu mwenzake lakini hawezi kumla.
Nafikiri nimejitahidi kumtetea ndugu Kikeke kwa maelezo yake ya kisiasa.
Sidhani kama ana shida. Ila mimi siwezi kula. Kama ambavyo siwezi kula mchunga, kasa, kumbi kumbi n.kKambale huwa ana shida gani? Kuna whitch doctor mmoja nilikua namsikiliza anazuia kula ambale
Wapi kwenye Uislamu wamesema nguruwe ni haramu?Kwaiyo Salim kikeke anakiri kwamba nguruwe sio haramu