Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 5,140
- 8,399
Kikeke hali nguruwe, ila mchuzi wake anakunywa
Ukabila utawamaliza Kenge nyie ,mmeanza na udini KIkeke kawangangia hapo hapo .Nitawadharau sana watakaompitisha Kikeke. Anaweza kufaa kuwa mbunge lakini siyo wa Kaskazini
😆😆Huko mtaani JUA ni Kali Sana, hivyo inabidi kupambana kwa namna yeyote ile.
Sky EclatMtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
View attachment 3428091
Nguruwe ni haramu kwenye dini yako. It means utakuwa unapalilia uharamu na kukiuka maagizo ta Mtume ... tumbo streeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeetMtia Nia wa Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini ndugu Salim Kikeke amesema kuwa atasaidiana na wadau mbalimbali kutafuta soko na kuongeza thamani ya Nguruwe katika Jimbo hilo ikiwa pamoja na kuvutia wawekezaji na hatimaye mfugo huo upate soko la Kimataifa.
View attachment 3428091