GE2025 Salim Kikeke: Nitaongeza thamani ya Soko la Nguruwe Jimboni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nitawadharau sana watakaompitisha Kikeke. Anaweza kufaa kuwa mbunge lakini siyo wa Kaskazini
 
Wachaga siku hizi mmekua wajinga wakudanganywa kirahisi?.


Nmeuliza atafanyaje fanyaje kuongezea hiyo thamani??.


Yaan kamtu kalikua katangazaji, hajawahi hata andika MAKALA ya Biashara ya Nguruwe, Leo kanakuja kuwaambia ,kataongeza thaman ya soko la Nguruwe?.
 
Wasiwasi Wake Tu,,Yule Jamaa Ni Kama Bangi,, Soko Tosha...Hatuwezi Kuwa Na Soko Ndani Ya Soko....
 
JF ni kama maji. hoja ya soko la nguruwe jimboni humo liliibuliwa humu. kumbe tayari mheshimiwa mtarajiwa ameruka nayo.

"Natamani malaika angeshuka akafunga mitandao"
 
Kambale huwa ana shida gani? Kuna whitch doctor mmoja nilikua namsikiliza anazuia kula ambale
 
Amefata nini ukweni, mke tulishampatia au hana kwao.
 
Cheap political drama,wamemwigiza kwenye mkenge.
Kuna kesho,mimi nadhani ni bora kuwa mkweli kwa muumba wako kwanza.
Wamekugeuza Ponti Pilato umemwachia Baraba
 
Kambale huwa ana shida gani? Kuna whitch doctor mmoja nilikua namsikiliza anazuia kula ambale
Sidhani kama ana shida. Ila mimi siwezi kula. Kama ambavyo siwezi kula mchunga, kasa, kumbi kumbi n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…