Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

Wao wanataka sheria zao sio hizo za Umma na nahisi wanataka ziitwe Sheria za wake wa Marais
Hakuna umuhimu huo kwakweli maana yeye sio kiongozi wa uma. Yeye ni mwenza tu.

Ukifanya hivyo unafungua mlango kwa wenza wa watumishi wengine nao kuhitaji mafao.

Mfano mke wa IGP, Mke wa CDF , mke wa DGIS, Mwenza wa kamisha na Magereza, Takukuru,Uhamiaji ,Zimamoto n.k. zote hizo ni nafasi za juu katika utumishi wa uma.

Kwa hali yetu ya kiuchumi hatuwezi kuhudumia watu wote hao.

Huo ni ufujaji wa fedha za wananchi. Watu waridhike tu na wanachopata kwenye maisha haya binadamu huwezi ukawa na kila kitu. Ni swala la kuridhika tu.

Mtu kama huridhiki hapo sasa kuna kitu kinaitwa tamaa.

Tamaa huzaa dhambi na malipo ya dhambi ni mauti.
 
Huyu mama anamapepó ya kupenda pesa tu

USSR
Yule jamaa mwanamuziki aliyetoka jera kipindi cha JPM bado ajapasha kiporo chake. Tezi dume nasikia linamaliza kila kitu yanabaki sehemu ya kukojolea tu. Hivyo huyo mwanamuziki ni muda muafaka kuendeleza kupasha kiporo.
 
Kwanza mama Salma ndio Mwenyekiti wa umoja wa hao wake wa Maraisi wote wa africa anapilika na miradi yenye mpunga mrefu lakini hawatosheki aiseee.
Huenda anamuongelea mjane wa awamu ya 5, na maslahi ya wake wa viongozi wa miaka ijayo ?

Kwani hawa wenza wa maraisi wanapostaafishwa baada ya waume zao kuwa viongozi, huwa hawalipwi pension zao ?
 
inasikitisha mtu aliye na uwezo hawezi pambana na hali yake.
Anataka wengine amfikirie.
Anamuaibisha Jakaya.
 

Huyu, mumewe na mtoto wao akili sawa, badala ya kufikiria waifanyie Tanzania wanataka Tanzania iwatumikie wao for what, ndiyo maana tunahitaji wabunge wenye kujitambua siyo wabunge ugoro, hivi tukienda Mchinga tuwaulize wananchi watasema hiyo ndiyo shida yao au ametumwa na mumewe,

Aibu yaani hawashibi !!!
 
Huyu mama anamapepó ya kupenda pesa tu

USSR
Naunga mkono hoja Kikwete akae Naye mbali mali zake kama hajaziweka vizuri aanze kuandika wanawe yasitokee ya Reginald Mengi akaja kusumbua akina Ridhiwani mbele

Akumulikaye mchana usiku atakuchoma

Kikwete weka mali zako vizuri huyo mama Salma sio mtu mzuri.Dalili ya mvua mawingu .Kama hajaona dalili basi hajielewi

Tafuta hata mtoto yeyote mnaelewana mkabidhi vitu vyako na documents transfer kimyakimya huyu mkeo Salma sio ni kama Klein Mengi tu nyumba ndogo ya Mengi anayesumbua mahakamani kwa mali alizozikuta ambaxo hakuchuma na Mengi huyu Salma kaolewa kwako kukuchuma tu loo

Anza kuhamisha title za mali secretly kwa mtoto au watoto unaowaamini vichwa vyao viko vizuri kimya kimya.Likitokea la kutokea haambulii kitu
 

Ina maana mumewe alikuwa anahudumia familia za nje, mkewe hamhudumii!
 

Waache yawakute, walituuza kwa wageni
 
Amesikika Salma Kikwette na hoja ambayo yeye ni mnufaika wa moja kwa moja:

Your browser is not able to display this video.


Wabunge wanategemewa kwa mujibu wa kanuni za bunge kuwasilisha hoja za wananchi si hoja zao.

Pamoja na ubinafsi alioonyesha, mama huyu ni vyema ajitathmini kama kweli anatosha kwa nafasi hii.
 
Familia ya kifisadi inawaza kuifukaeisha nchi na kunenepesha mifuko yao.
 
amezingua, haya ni matokeo ya kupeana vyeo hata kwa vilaza
 
Mke wa mwl wangu mstaafu wa primary nae anahitaji stahiki...alimuwezesha sana mwl kutimiza majukumu yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…