Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

Duuh watu hawaridhiki na pesa na mavyeo ,mtu familia nzima wanavyeo mama mbunge , baba mstaafu raisi,mtoto naibu waziri ,wakati kuna watu hawana ajira melfu na maelfu wamegraduate ,kweli balaa ,hili jambo lingetokea nchi zilizoendelea za watu weupe zinazoendeshwa kidemokrasia ,wananchi wangeandamana kabisa
 
Kwahiyo itakuwa inahusika pia kwa wake wa viongozi tu au na waume zao Kama mume wa Samia na wake wenza wenzake?

Badala ya kupigania Watanzania wapate vitu vya msingi kama bima za Afya anajifikiria yeye mwenyewe. Kuna watu wa ajabu sana.
Hii Nchi unaweza tamani ipinduliwe tu mkuu
 
Kikwete aje aongee kwa hili
Pesa alikuwa hampi mkewe anakula zote au

First ladies waulize waume zao wawe first lady Raisi,Makamu na Waziri Mkuu huwa hakuna chochote kwa ajili ya wake zao ? Hadi watafute cha kufanya kuwaingizia kipato?

Wabunge hupewa pesa za wasaidizi na madereva

Raisi hana ? Au chochote akipata hata cha mwenza anakula mwenyewe?

Mama Samia ajibu ana mume

Mpango ana mke

Makamu wastaafu wapi wana wake

Mawaziri wakuu wastaafu wana wake
Majaliwa ana mke

Jibuni kama mnapewa halafu mnazipiga juu kwa juu semeni
 

MaCCM MAJINGA SANA!
 
Hii nchi ina wenyewe mkuu, hizo kura ni kukamilisha utaratibu tu.
 
Kama walikosana mbona alimpa ubunge ?..
 
Yuko sahihi....

Kwani wake wa marais wanakuwa wangapi watuumize kiuchumi?!!!

#Siempre JMT🙏
 
Genge la mizoga ya msoga linazidi kutafuna tu!

Huyu nae anataka kiinua mgongo?

Hajaridhika tu jinsi basha wake alivyopora mapesa ya nchi kwa miaka kumi?

Na bado ubunge tukampa, na mwanae muuza madawa nae tukamtunuku ubunge wa bure!

Hashibi tu!?
Acha husuda muhaya wewe.....

Ushahidi wa kuusika kwake na madawa hebu upeleke polisi....
 
Kuyaangalia maslahi ya taifa ni pamoja na kuwaangalia hao wake wa viongozi Wetu wakubwa......

#Siempre JMT🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…